Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Gauni la 3 naliongeza kwenye ile list
Nilikuwa na mpango wa kukutumia hii inayoonyesha lote nikuulize 😄😄
20221013_110828.jpg
 
Stress zinatoka wapi na mziki upo?
Yaani kwanza kukiwa na chakula na hela tu hapo nanenepa mbona.

Nikamate hata Dola elfu15.
Mhhh, Kweli kila mtu ana kitu chake cha kumpa amani 😂 😂 😂 😂 😂 , Halafu mbona unataja hela ndefu ndefu tu 😎
 
Mhhh, Kweli kila mtu ana kitu chake cha kumpa amani 😂 😂 😂 😂 😂 , Halafu mbona unataja hela ndefu ndefu tu 😎
Na pesa ni jawabu la Mambo yote.

Sasa nitaje fupifupi mia Tano Tano na buku ambazo nimezizoea?

Chakula
Hela
Mpira
Muziki
Nikiangalia na Mama Kimbo 😂
Nimemaliza
 
Back
Top Bottom