Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Anne acha hizo bana....twende beach kesho uone waswahili tunavyojaa.🙂
Mapozi yao sasa utayaona tu.

Mswahili ni Mswahili tu hata aende.

Ndugu zangu wabongo mtanisamehe
 

Attachments

  • Screenshot_20221012-112847_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20221012-112847_WhatsAppBusiness.jpg
    59.8 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221012-112851_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20221012-112851_WhatsAppBusiness.jpg
    55.6 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221012-112853_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20221012-112853_WhatsAppBusiness.jpg
    52.2 KB · Views: 9
Wewe sidhani kama utawezana na nyimbo za kina Mama Kimbo,mara sijui Sukari,Alamba.

Waswahili wakiona ubao wako wa playlist wanaona nyota tu.
Nyimbo zetu nyingi siku hizi wanaimba ujinga tena bila hata kutumia tafsida ndio maana sizipendi. Watoto wanavyoziimba sasa ☹️☹️☹️

Kuna hii moja naipenda melody yake ila huwa naona shida kuisikiliza kwenye speaker 😶‍🌫️😶‍🌫️
Screenshot_20221012-113259_Muzio Player.jpg
 
Back
Top Bottom