Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Leo Mungu ni mwemaSawa mdogo wangu
Kila la heri huko uendako
Chap tu nimepata seat .
Nakutumia .
Thank you so much
Leo Mungu ni mwemaSawa mdogo wangu
Kila la heri huko uendako
Hakuna jipya chini ya juaIli unichungulie?
YeeeehTu!?!
KwendaaHakuna jipya chini ya jua
Kwani ww siyo Kaka?Hapo kwenye kaka mtihani
Mimi sijambo kabisa
Babu na mimi nakiomba niongeze maarifaView attachment 2384328
Wacha nipate mbinu ya ku negotiate wakati najiandaa kwenda Kulipa Mahali ya Kijana wangu 🤗🤪
Hello Wednesday 🥂
Jirani umeamkajeSalam kwenu wote
Sidhani kama inaweza saidia kupunguza stress kwanguYeeeeh
Pole sana,Kunakitu nilibeba kikahis maumiv kidole gumba nikakinyoosha na shughuli za kawaida zikaendelea shughuli ikaanza nilipotaka kusonga ugali maumivu makali mno nikapika kibishi Hadi kufikia usiku nikashindwa hta kunayanyua kikombe Cha chai kinaniuma balaa Na Wala hakijavimba nishaanza kukosa Raha aiseeView attachment 2384418
Ana mchapa SavanahInaonekana pisi ya maana sana hii aisee. Watu mnakula maisha eeh!?
Asante Yan acha tu ngoja nijaribu kuuchuaPole sana,
Jaribu kuuchua.
Usinune 😒😒🌹🌹
🙇🏾♀️🙇🏾♀️Usinune 😒😒🌹🌹
Tabasamu kidogo, afya ya mifupa yangu iongezeke 😁😁🙇🏾♀️🙇🏾♀️
Mhhhh....inasaidia kuliko calcium???😐Tabasamu kidogo, afya ya mifupa yangu iongezeke 😁😁