myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
😂 😂Mapozi yao sasa utayaona tu.
Mswahili ni Mswahili tu hata aende.
Ndugu zangu wabongo mtanisamehe
😂 😂Mapozi yao sasa utayaona tu.
Mswahili ni Mswahili tu hata aende.
Ndugu zangu wabongo mtanisamehe
Pole aunt usijali huu mwaka hauishi lazima nikutafutie chomboNichumbie basi shangazi, nalala njaa shangazi yako 😃😃😃
😂😂😂Nilipate wapi umaridadi unaficha umaskini 😂😂😂Una duka la nguo eeh?
😃😃😃😃 Haya acha ni SobiriPole aunt usijali huu mwaka hauishi lazima nikutafutie chombo
Hii kitu ambayo Christina alikuwa anarukia wanaume naikumbuka vizuri sana mazee...MALCOM LUMUMBA unaikumbuka hii ngomaView attachment 2384742
Wew tulia nifanye 😂😂😃😃😃😃 Haya acha ni Sobiri
Ila sina hela sasa 😊😊Wew tulia nifanye 😂😂
Daah shangazi huyoo 😋😋😋
😂😂😂Kunamtu alinishawish balaa ila nikakataa nikikuwazaga nacheka sana aisee😂Lizzy tunawasaidiajeView attachment 2384755
Muhimu confidence shangazi mbona unawin usiwe mnyongeIla sina hela sasa 😊😊
😂😂😂Kunamtu alinishawish balaa ila nikakataa nikikuwazaga nacheka sana aisee😂
Confidence bila hela unaonekana mwehuMuhimu confidence shangazi mbona unawin usiwe mnyonge
😂😂😂Mm wananidai washenz Hawa na sijalipa walinitumia sms ya vitisho walidhani nitahamia Burundi😂😂😂
Sasa aunt ukose vyote ukose Hela na confidence 😂Confidence bila hela unaonekana mwehu
Branch 😃😃😃😃😂😂😂Mm wananidai washenz Hawa na sijalipa walinitumia sms ya vitisho walidhani nitahamia Burundi😂😂😂
Confidence bila hela ni bangi 😁😁Sasa aunt ukose vyote ukose Hela na confidence 😂
Poa mambo vip