reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,454
- 29,363
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2]Pia wako wanaume wana sura za mama zao,na sio vibaya pia.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2]Pia wako wanaume wana sura za mama zao,na sio vibaya pia.
Sitarudia tena shem. Nilikaribia kuwa alcoholic kabisa wale asipokunywa pombe mikono inatetemeka. Naiogopa pombe kama ukoma! [emoji706][emoji706][emoji706]Ameiyn usirudi tena
Aseehh ..pole na hongeraSitarudia tena shem. Nilikaribia kuwa alcoholic kabisa wale asipokunywa pombe mikono inatetemeka. Naiogopa pombe kama ukoma! [emoji706][emoji706][emoji706]
Same,Usiku mwema [emoji1545]
Ngoja nijibembeleze nisinzie
Sijawahi bembelezwa 😂😂Same,
Wakati mwingine hakikisha unabembelezwa.
Si kweli,Sijawahi bembelezwa [emoji23][emoji23]
Sina bahati hiyo aiseeSi kweli,
Labda hujapenda.
Hahaaha kumbeNdumba[emoji2827]
Shikamoo madamHahaaha kumbe
Jamani shikamoo BossShikamoo madam
Marahaba mdogo wanguJamani shikamoo Boss
Nipo nagomabania gari hukuMarahaba mdogo wangu
Ka selfie ka asubuhi basi
Jana nimelala hoi nimeamka naambulia za uso tuu😭😭😭😭
Sawa mdogo wanguNipo nagomabania gari huku
Nikitulia nitakutumia Pm.