Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Kama umezaa nae sawa kama hujazaa nae maisha yaendelee tu utapata mpya 😂Asante mkuu naitaji canceling
Kama umezaa nae sawa kama hujazaa nae maisha yaendelee tu utapata mpya 😂Asante mkuu naitaji canceling
Mazoea yanatabu sanaKama umezaa nae sawa kama hujazaa nae maisha yaendelee tu utapata mpya![]()
😒😒 Ya cartoon tutaanza chekeanaNi ya watu walionuniana...???🤔🤔
Ndo ukubwa huo jikazeMazoea yanatabu sana
Maybe tomorrow 😏😒😒 Ya cartoon tutaanza chekeana
😒😒 Usinune utaota zombieMaybe tomorrow 😏
Leo acha nimalizie tu kununa.☹️
Hmmm 😶🌫️😶🌫️😒😒 Usinune utaota zombie
Hutaki nikubembeleze 🙄🙄Hmmm 😶🌫️😶🌫️
Kama we unataka 😏Hutaki nikubembeleze 🙄🙄
Eeh! Nataka 😊😊Kama we unataka 😏
Basi nasubiria 🙇🏾♀️Eeh! Nataka 😊😊
🤗🤗🤗🤗Basi nasubiria 🙇🏾♀️
😍😍😍😍😍Hello wakuu!😘
Nkamu😍😍😍Hello wakuu!😘
🤣🤣🤣🤣Braza yani ndo umechangua kufa kabisa?
Hahaha kumbeHuyu Chuchunge anataka tu kuniona nateseka na usingo
Muda ndo jawabu zuriAsante uwe unanitembelea kunifariji
Nashukuru Sana nduguMuda ndo jawabu zuri
Utakuwa sawa tu na kupata amani moyoni .