Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Kuweza nini mkuu?Mnawezaje bila kunywa hata kidogo?
Kuishi ama?
Kuweza nini mkuu?Mnawezaje bila kunywa hata kidogo?
Ni vigezo gani unatumia kuipimia sura ya dingi?ahsante wazee siye wakongwee!!!
Aka sura za dingii@heaven sent
Na sitamani kunywa hata kidogoMnawezaje bila kunywa hata kidogo?
Kunywa mkuuKuweza nini mkuu?
Kuishi ama?
Boya sana!Yaani Sasa hivi anatumia msg everyday treni ishafanya shanting pale tabora ,kachelewa mnoooo...



Nikikuwekea mzee wangu hutabishaa Yani kopy and pasteNi vigezo gani unatumia kuipimia sura ya dingi?
Kwanini rey?Na sitamani kunywa hata kidogo
Thank you babu , wine pia huwa ni nzuri .Maisha haya jipya aisee...
Kwa sisi tusiokunywa pombe yaani ni shida.....
Nafurahi kukuona ukiwa na furaha mjukuu....Na idumu hiyo furaha...
Putin na Yolly Yolly wake angeona hiyo picha sijui angesemaje![]()
Alikua anapima maji Kwa ujitiBoya sana!
Atajutia mpaka siku anakata moto!
Alikuwa wapi mpaka umekuwa Mama Koku?![]()



Nilishapitia hiyo steji tena kunywa kweli kweli siyo mchezo siku nisipokunywa mambo hayaendi. Sitaki na sitamani kurudi huko!Kunywa mkuu
Baasi tuuuKwanini rey?
Haimanishi kufanana na baba yako,Nikikuwekea mzee wangu hutabishaa Yani kopy and paste
Ameiyn usirudi tenaNilishapitia hiyo steji tena kunywa kweli kweli siyo mchezo siku nisipokunywa mambo hayaendi. Sitaki na sitamani kurudi huko!
Sasa je!!sura za madingi za kiumeHaimanishi kufanana na baba yako,
Ndio utakua na sura ya kiume bana.
Ndo huko aiseeHaimanishi kufanana na baba yako,
Ndio utakua na sura ya kiume bana.
Ooh vizuri MkuuFinally,
Waliolala wanapitwa na vingi hakika,
Vijana wanasema umenoga.
Umewezaje?Nilishapitia hiyo steji tena kunywa kweli kweli siyo mchezo siku nisipokunywa mambo hayaendi. Sitaki na sitamani kurudi huko!
Hatapata mwingine kama wewe shem. Kosa kubwa sana.Alikua anapima maji Kwa ujiti![]()
Pia wako wanaume wana sura za mama zao,na sio vibaya pia.Sasa je!!sura za madingi za kiume