Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
NimekerekaSchool bus?pole
Nilikuwa na bashasha zote mtoto wa watu nilimiss kazi ya Uyaya
Toka saa 8 ..yanafika saa 9 kasoro.
NimekerekaSchool bus?pole
Lizzy 😬😬😬😬Mkuu wangu siwezi baki
Na tayari nimesha pack nasubiri time tu
😋😋😋😋😋❤️
Pole sana jirani...Kwa kweli ni pachafu
Pana vuuumbi..tangu nimefika naumwa tu mafua,Siyo kwa vumbi hili walaq
Unaachwa lini aseeEwaaa
Nilitaka nimalizie ila nikaogopa Wige asije akajinyonga kwa wivu.

Hahaha! Nilikuita kule ulipitia??Unaachwa lini asee![]()
Labda tunaishi nyumba moja, ila hatujuaniSahani kama yangu jamani

Impossible..Labda tunaishi nyumba moja, ila hatujuani![]()
Nani?Unaachwa lini asee![]()
Haya fanya wepesi nilale vizuri sasa!Nani?
Mimi Chuchunge au mwingine![]()
Asante jirani.Pole sana jirani...
Tupo tunamalizia Kuselfika.Haya fanya wepesi nilale vizuri sasa!
Fanya hivo nasinzia hapa ujue!!Tupo tunamalizia Kuselfika.
Ngoja tuweke pozi matata.
Nilikuwa nashindwa kupatambua ,Ila baada ya kuona ghorofa letu Pendwa,refu kuliko yote hapa mjini..Nikagundua hii barabara ya Matola Mwanjelwa.Wenyeji wa Mbeya mpo wapi? View attachment 2382698
Ngoja tukae vizuriFanya hivo nasinzia hapa ujue!!
🤣🤣Asante jirani.
Ila Mji wetu ni mzuri sana.
Hauna joto la uvundo kama kuke daslam.