Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂Natumaini jioni ya Leo anatakiwa kufanya muamala Kwa madam
Mad Max sio Kwa cv hii iliyoshiba uliyoandaliwa 😂😂😂😂
Wabheja sana dadake Mie kuhusu muamala asiwaze kabisaaa ntafurahi tu kuona mdogo angu ukiamka bila uchovu umefurahi na kutabasamu kila leo!!
Mambo yakitick mie furaha tosha kabisa!!
 
Anataka unyongwe ashindwe na kuteketea kabisa! Haakutakii mema!!🤣🤣!!
Kabisa hatuonei huruma Hadi kulala tutaanza kupewa masharti 😂😂na gundu tumeongezewa kwenye manyanayaso yetu hatuna nyota hata Hela hatupati kamq baba yolly yolly 😂😂😂
 
Back
Top Bottom