😂😂😂😂Dah mm nilikuwa namtaka bachelor sugu Sasa itakuwaje😂Weweeeeeh according to mwanahabari na msemaji mkuu wa watu na wachumba wao selfika baba Yolly Yolly ameshakukabidhi rasmi mr vouuchaaaa na saii anainjoy madikodikoo yakooo!! 😁😁!! Saii ni wewe na mzungu Wetu selfika Binti murembo cheupe dawa akee Alayna!
Mie nishasema kitambo humu siwaweziii 🙌🙌🙌!!
Mchawi Uzi tu ukiweka tu nazama pm😂😂Nisubiri muachane au?
Nataka nijiweke nitulie mi nishachoka kutanga tanga kabisa. Yaani hutokaa kuniona jukwaa la Love Connect.Kila la kheri mdogo Wanguuu!! Feedback mapema yote hii zanini uache mapepeee,, tulia kwanzaaaa uusome mchezo nenda nae adoo adoo hadi aelewekeee!! Ukileta feedback utawangiwa bureee tena mchana kweupeeee wanga tumejaa telee usiseme sijakwambiaaaa!! 🤭🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️!!
Ila make sure huyo ndie ulieona anakufaa au kama bado unachagua chagua vuta subira usije tuumizia sweetmadame wetu selfika bado tunampenda na kumuhitaji sana tyuu make Vijana akili zenyu mnazijua wenyewe!😉!
Wew andika tu natafuta wa kunipandia maua hapa nyumbani usishau na vigezo vya boss viwepo 🤣🤣Nisubiri muachane au?
Niweke mara ngapi unataka na picha au? 🤣🤣Mchawi Uzi tu ukiweka tu nazama pm😂😂
Hahahaha dah ngoja niusuke uzi mpya. Nauweka saa 7 usiku. Ukicomment tu naomba Mods waufute.Wew andika tu natafuta wa kunipandia maua hapa nyumbani usishau na vigezo vya boss viwepo 🤣🤣
🤣🤣🤣Uzi uwe mfupi yaani nisichelewe kusoma watu wakawahi 🤣🤣🤣Hahahaha dah ngoja niusuke uzi mpya. Nauweka saa 7 usiku. Ukicomment tu naomba Mods waufute.
Usifunge PM leo🤣🤣🤣Uzi uwe mfupi yaani nisichelewe kusoma watu wakawahi 🤣🤣🤣
hujakosea mimi nimewafahamu jana kwenye tamasha la wakati wa Mungu.Neema Gospel nawaelewa tangu zamani enzi za akina Kanumba.
Wanajua sana kuimba..Recently watu wengi ndio wamewajua.
Hahahaha dah ngoja niusuke uzi mpya. Nauweka saa 7 usiku. Ukicomment tu naomba Mods waufute.
Uzi wanini mnaprolong mambooo yatakua mengi !! Vimeshaumana just get a room for the talk pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!🤣🤣🤣Uzi uwe mfupi yaani nisichelewe kusoma watu wakawahi 🤣🤣🤣
Dada 😂😂😂😂Uzi wanini mnaprolong mambooo yatakua mengi !! Vimeshaumana just get a room for the talk pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Msiniangusheee🤭😁!!
Kwa upambe Namkaribia Baba Yolly 🤣🤣🤣!!Dada 😂😂😂😂
Nimeweka na alarm😂Usifunge PM leo
Umempita kabisa level Yako ni ya PhD 😂😂Kwa upambe Namkaribia Baba Yolly 🤣🤣🤣!!
Bachelor sugu wapo wengiii kuna National Anthem mzabzab nae anatafuta wa kuzaa nae hukooo sijui washampatia mwongozo anajua mwenyewe!! Mad Max anakufaa kwakua you will start afresh woteee!! Hao wengine sijajuaaa ila nasikia bossi kubwa Africa Asia na Ulaya zake yupo vyediii sana mi nimesikia tyu sijajua ukweli wakee!! Au fanya hima ukashuhudie mwenyewee mdogo wangu!!😂😂😂😂Dah mm nilikuwa namtaka bachelor sugu Sasa itakuwaje😂
Mad Max
Nyie mbona mnanisingizia. Mwenzenu nina mke na mtoto kabisa mnasema eti bachela🤣🤣🤣🤣Bachelor sugu wapo wengiii kuna National Anthem mzabzab nae anatafuta wa kuzaa nae hukooo sijui washampatia mwongozo anajua mwenyewe!! Mad Max anakufaa kwakua you will start afresh woteee!! Hao wengine sijajuaaa ila nasikia bossi kubwa Africa Asia na Ulaya zake yupo vyediii sana mi nimesikia tyu sijajua ukweli wakee!! Au fanya hima ukashuhudie mwenyewee mdogo wangu!!
Nimesema wa kuzaa nae bana!!Nyie mbona mnanisingizia. Mwenzenu nina mke na mtoto kabisa mnasema eti bachela🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂Natumaini jioni ya Leo anatakiwa kufanya muamala Kwa madamBachelor sugu wapo wengiii kuna National Anthem mzabzab nae anatafuta wa kuzaa nae hukooo sijui washampatia mwongozo anajua mwenyewe!! Mad Max anakufaa kwakua you will start afresh woteee!! Hao wengine sijajuaaa ila nasikia bossi kubwa Africa Asia na Ulaya zake yupo vyediii sana mi nimesikia tyu sijajua ukweli wakee!! Au fanya hima ukashuhudie mwenyewee mdogo wangu!!