myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Hujambo jiraniJiranii
Hujambo jiraniJiranii
👋Hustler one katibu helloowwww!✋ Nimeona kivuli chako Katibu 😉
Sio kwa kutususa huko katibu !! Sie hatujambo kabisa!! ✌️✌️✌️
Ile Siku nikasubiria Selfii yako weeeeee hadi leo kimyaaa...😉😉
Nipo mwenyekiti, napambana na tozo za wenyewe!!Sio kwa kutususa huko katibu !! Sie hatujambo kabisa!! ✌️✌️✌️
Pole mwenyekiti mambo ni mengi mno nikasahau!!, uko poa lakini??Ile Siku nikasubiria Selfii yako weeeeee hadi leo kimyaaa...😉😉
Umependezaaa ajat pasi imekoleaaa

! Leo umevaa ya magotini?? 

?? Hebu simamapo nione vizuri kwanza 

!!Mie niko poa sana Katibu! Haya do the needful saivi sasa!!Pole mwenyekiti mambo ni mengi mno nikasahau!!, uko poa lakini??



Baadae kidogo namcheck mnyama !!Mie niko poa sana Katibu! Haya do the needful saivi sasa!!
Nasubiria hapa katibu![]()
Tozo ni kwa wote Katibu Hongera sana kukomaa nazo!!Nipo mwenyekiti, napambana na tozo za wenyewe!!
Poapoa usizingue sasa badae nitakukumbusha!Baadae kidogo namcheck mnyama !!

ShapeNini ipo jamani
Mie kimoko chaliiiii. Tatu zote kujichosha ya nini🤣🤣🤣🤣Wee mwenyewe unaonekana shoo karee vilevile 3 mzuka sio ya mchezo mchezo lazima uwe vyedi!!🤭🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
Samaleko mkuu!!✋Shape
Kufa single itakuwa wee mwenyewe umejitakiaAnampango nife single huyu 😂
Wee jitoe ufahamu tu najua ushanielewaaa!! Ile makitu Sio mchezo ujue 🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️Mie kimoko chaliiiii. Tatu zote kujichosha ya nini🤣🤣🤣🤣