Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee kwanza muongeaji tuu maana sijakuona kule kwengine muda.
Mie napiga viwili vya afya.
Hujaniona Wapi kwani lile jukwaa limerudi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]??? Au Unasemea My home sweet home MMU?? ??? Mie nipo sana best juzikati nilipumzika kidogoo[emoji16][emoji16]!!
Mie ni kweli ni muongeaji tu best mie actions zirooooo Nyuma ya keyboard kunasevuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!
 
Bora umekubali kuwa wee ni wa key board🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nafurahi kusikia hivo dear hope nawe afya yako inaendelea vizuri mamiiake!! Thanks dear tumekumiss pia!
Hauna ka selfii hapo ubariki mchan wetu mama kachanga??[emoji848][emoji848]
Nipo mambo mengi tu kipen,I[emoji2956][emoji2956][emoji8][emoji8][emoji8][emoji177]kaselfie baadae kidogo ntatupia..usijali
 
Nakwambia Nilikua msimamizi mkuu sasa Shule ilikua na mikondo 8 uwiii!! A hadi H huko unazunguka kama piaa hakuna kupumzika hadi muda unaisha! Miundombinu ya shule sasa madarasa yamekaa mbalimbalii afu kuna vi miinuko inuko jamaniii Nilikoma mbona sina hamuu[emoji119][emoji119]
Madam unatoa Siri wakati umekula kiapo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Cha kutunza Siri
Jiandae Jela miaka 20....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cold water
20221009_185739.jpg
 
Back
Top Bottom