Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂Dah Mjep si wako wew na Alayna
Weweeeeeh according to mwanahabari na msemaji mkuu wa watu na wachumba wao selfika baba Yolly Yolly ameshakukabidhi rasmi mr vouuchaaaa na saii anainjoy madikodikoo yakooo!! 😁😁!! Saii ni wewe na mzungu Wetu selfika Binti murembo cheupe dawa akee Alayna!
Mie nishasema kitambo humu siwaweziii 🙌🙌🙌!!
 
Nakwambia Nilikua msimamizi mkuu sasa Shule ilikua na mikondo 8 uwiii!! A hadi H huko unazunguka kama piaa hakuna kupumzika hadi muda unaisha! Miundombinu ya shule sasa madarasa yamekaa mbalimbalii afu kuna vi miinuko inuko jamaniii Nilikoma mbona sina hamuu🙌🙌
All is well umemaliza salama. Pole na hongera sana madame. 🤝
 
Nipo napambana PM feedback zitakuja leo 😍😍😍
Kila la kheri mdogo Wanguuu!! Feedback mapema yote hii zanini uache mapepeee,, tulia kwanzaaaa uusome mchezo nenda nae adoo adoo hadi aelewekeee!! Ukileta feedback utawangiwa bureee tena mchana kweupeeee wanga tumejaa telee usiseme sijakwambiaaaa!! 🤭🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!!
Ila make sure huyo ndie ulieona anakufaa au kama bado unachagua chagua vuta subira usije tuumizia sweetmadame wetu selfika bado tunampenda na kumuhitaji sana tyuu make Vijana akili zenyu mnazijua wenyewe!😉!
 
Back
Top Bottom