Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,831
Mara paap inawekwa picha yako...watu wote weuweeee! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]tuweke picha ya yolly yolly
Mara paap inawekwa picha yako...watu wote weuweeee! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]tuweke picha ya yolly yolly
shikamoo BabuMara paap inawekwa picha yako...watu wote weuweeee! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Baba YUpo single afu unashabikia yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Forum yote inajuaNahisi ulikuwa ni wewe, mbona ulikuwa unawaongelesha kiingereza?
Unaachika lini[emoji848]Marahabaa
Ulitupia[emoji848]Sobiri kidogo nitupie uone [emoji16][emoji16][emoji16]
Fresh unapenda kunidanganya ehhBaba Y
mambo , habari ya sabato .
Yakwangu utaniletea??😧
Hakika Li zuri
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji4][emoji4][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23] [emoji23] Timu yetu uhakika ndio maana hatutaki kuwapiga hela za kubet
Mtoto au mimba[emoji2297][emoji848][emoji849]Nani anapotea?
Nilikuwa go ahead kwamba unitafute na hukunitafuta.
Huwezi jua,siku hiyo ingeleta nini.
NitakupelekaSijui lini nitafika Mwanza na mimi
nisamehe bureFresh unapenda kunidanganya ehh
Mmeshinda[emoji1787][emoji848][emoji849]Sisi Yanga wala hatuhitaji kubet[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
ushindi upo wazi.
.....
wiki jana kuna harusi nilienda,Wakaweka mashindano ya kutoa hela kati ya Simba na Yanga..
Aisee ule mchezo ni mzuri kwa kuwatunza Maharusi
Zilitolewa hela pale,Kila upande hautaki kushindwa ligi..Watu wanaongeza tu hela.
Mwambie aseeNjoo kwa kaka yangu Wigelekelo akupeleke ukale sato na sangara unawiri zaidi
Kaskazini hamna vinono kama kanda ya ziwa
nitamleta hapaAmpigishe rodi tripu hadi za huko nje
Nhamala gw'agoko/ EminzaMara paap inawekwa picha yako...watu wote weuweeee! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nimefurahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga kelele kwa al Hilal na yolly yolly[emoji7][emoji7] ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]