Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
ππππππkweli Baba Y upo msweet wewe
yolly yolly anafaidi aisee
nitakuwa nakuchokoza mara nyingi niisikie
ππ
ππππππkweli Baba Y upo msweet wewe
yolly yolly anafaidi aisee
nitakuwa nakuchokoza mara nyingi niisikie
ππ
kumbe yolly ni binti wa chuo.Atakua chuo huko
ππππππππ
Huyo sophy27 huwa namwelewa sana mwambie anifikirie asee nami nitulie sasaKwanini peke yako aunt wakati kuna wenzanko single humu wanataka wife kama wewe kama Mzee wa kupambania na mzabzab ππ
πππππBabu nini hicho kimefura hapo maeneo ya zipu?

yolly yolly 






Mbona sioni kituImegandia hapo haitoki
Mambo vipi rafikiNawasalimu kwa jina la Form One 2023 wapendwa!! Helloowwwwwwwww!!!!
Sis akee Lovelovie les great shostireeeee cocastic Sweetmadame sophy27 Saint Anne Wigelekelo etc miss you jamaneeee
mlale unono!!
π€£π€£π€£58 min si 1 hour kijana? Mnaongea nini au kata kata weweππ»π€£ au ndio anakufundisha haya maneno ya kutusema huku
Babu la mchongoView attachment 2379696
Wanasema "Tafutia Juani Ulie Kivulini" ngoja tusubiri kama kivuli kitapatikana
Hello Friday![]()

Yupi sasaHawa Vijana wamefanya niingie Dukani kununua hili Buti Kwa ajili ya Ulinzi wa Wajukuu zangu
Alafu Jana, nilisikia Jiwe Juu ya Bati. Nahisi Kuna Mjukuu wangu alikuja Kuitwa Kinamna.


Nahisi ulikuwa ni wewe, mbona ulikuwa unawaongelesha kiingereza?Yupi sasa![]()
Hahaha..........niaje Mkuu wangu?Babu la mchongo
Habari gani Bwana![]()
Mods watakua wameitoa πMbona sioni kitu
Yolly yolly inaonekana hana njaa za vocha, shikilia hapo hapo kijana
MarahabaaAcha roho ya kukunja
Hebu niamkie