Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😊uliyeko hapa hebu nishike bega tusalimiane
2BBBB883-255C-46BD-9817-3941AEC28D08.jpeg
 
Nhamala gw'agoko/ Eminza

Mhola ekwenokho e khole

Nalhe siza nde mutunduma

Nalejha losaka

Ughotolela dohoye
Wabeja nkoyi.

Dūgūhoya ntondo bageshi.

Siminzaga mhola makūngū na makūngū. Seba Agūtongele na gūgūlang'hana būzikū na līmi ūsiminze būlunde na nyawe! [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
shikamoo Babu
habari yako ?

[emoji23][emoji23]
mie nipo single haiwezi kuwa mimi
Habari njema mjukuu. Misungwi huku tuko salama kabisa....

Ya JF hapa ni mengi mjukuu. Unaweza kuta we ndiyo Yolly Yolly anayetesa hapa 24/7 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Stay blessed [emoji1545][emoji1545]
 
Kuna wanawake wengine ukidate nao unapata mibaraka tu ubarikiwe yolly yolly [emoji7][emoji7]
Nyie single mnaoga ili iweje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2381058
Hongera Putin!

Huyu Yolly Yolly huyu inaonekana ana mibaraka tele. Mshikilie sana aisee. Anaweza akawa ni kati ya wale wanawake ambao ukiwa naye kila kitu unachogusa kinabarikiwa...
 
Habari njema mjukuu. Misungwi huku tuko salama kabisa....

Ya JF hapa ni mengi mjukuu. Unaweza kuta we ndiyo Yolly Yolly anayetesa hapa 24/7 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Stay blessed [emoji1545][emoji1545]
Ooh vizuri Babu kama mpo poa
Mimi sio yolly aisee juzi hapa katuambia ni mdada wa Chuo
 
Back
Top Bottom