Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Sisi Yanga wala hatuhitaji kubet😂🤣😂🤣
ushindi upo wazi.
.....
wiki jana kuna harusi nilienda,Wakaweka mashindano ya kutoa hela kati ya Simba na Yanga..
Aisee ule mchezo ni mzuri kwa kuwatunza Maharusi
Zilitolewa hela pale,Kila upande hautaki kushindwa ligi..Watu wanaongeza tu hela.

Nkamu tubet Mama angu![]()