Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nakusalimu kwa jina la Mahondaw Anne 😉😉✋✋!!Mnyama 🐯
Niambie dada yangu mzuri 😊Ngoja Antonnia aje
Hutupigi kweli hapa 😂😂😂 Antonnia wetu yuko wapiNakusalimu kwa jina la Mahondaw Anne 😉😉✋✋!!
Good morning!!
Lol wasalimie sana babuu sema huko napaogopaaaaa uwiii likizo sijiii! Fita ni fita muraaaaNdiyo Mjukuu, naishi huku ndani ndani kabisa 🙊
Nitamwagiza Mjukuu wangu Mmoja akutumie leo JioniWw mzee Tajiri boss mwenye tabasamu la peponi nasubir vocha
Selfie za Super boss lady in Town ziendeleee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nakusalimu kwa jina la Mahondaw Anne 😉😉✋✋!!
Good morning!!
🤣🤣🤣😁😁😁😁😁 mbavuuu zanguuu mjombaaaaa!!!Hutupigi kweli hapa 😂😂😂 Antonnia wetu yuko wapi
Mnyama kama mnyama😂😂Watu wa mbeya huwambii kitu kuhusu Saul![]()
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃💃💃💃!! Ngoja nimalizie kusimamia pepa hapaa Natupia kama zoteeeee...Selfie za Super boss lady in Town ziendeleee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
akaninyweshe supu ya kuku 








🙎🙎 Kweli isije ikawa ID mtu kaiba jina lako 😄😄😄.. Miss you shangazi🤣🤣🤣😁😁😁😁😁 mbavuuu zanguuu mjombaaaaa!!!
Nipo hapaaaa nimejaa teleee🙇🙇🙇🙇
Hahaha............kuja huku ni muhimu sana Mjukuu, kwani hutaki kuwasalimia wale watoto wenzako mliokuwa pamoja wakina Bhoke? Kuna siku walikuja hapa nyumbani kukuulizia🤪🏃🏃🏃Lol wasalimie sana babuu sema huko napaogopaaaaa uwiii likizo sijiii! Fita ni fita muraaaa
salama huku rafikiMarahaba mrembo
Mi niko poa sana mama angu
Hofu kwako
Uongezeke kamwili nawewe mwanaume umekaukiaaaaaaa!! Sijui hata kama unaweza kumpakata huyo Yolly Yolly mmmxxiieww!Nimeitwa na yolly yollyakaninyweshe supu ya kuku
Ukiwa single ukila kuku unaona kama kuku wanakuzomea![]()
Hapana babuu huko napaogopaaa!! Bhoke Awamu hii akuje mjini nayeye!! Msalimie sana bibii jamaniiHahaha............kuja huku ni muhimu sana Mjukuu, kwani hutaki kuwasalimia wale watoto wenzako mliokuwa pamoja wakina Bhoke? Kuna siku walikuja hapa nyumbani kukuulizia🤪🏃🏃🏃
Usitoke hapaEwaaaahhh. Halafu Mjep selfika basi
usikute yolly yolly ni kiportable au mwembambaUongezeke kamwili nawewe mwanaume umekaukiaaaaaaa!! Sijui hata kama unaweza kumpakata huyo Yolly Yolly mmmxxiieww!