Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weuuuuuweeeeeee. Ulete ulete ulete.
Tuchangamshe mama. Yaani nisikose tu bando hiyo siku.
Kama kauwaaa uzuri wajua amsha amsha languuu nikiamuaa.. naanzisha afu nawasusia wachambajiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Just wait madammm MMU pamepoa sana sikuhizi!!
 
Bwana mpya ili nigundue nini miee!!!
Tuliza mshonooooo uandae na popcorn kabisaaa Ulivo shankupe sasa!![emoji847][emoji847][emoji16]
Niache kubebishwa na yolly yolly [emoji7][emoji7] wangu nisubir uzi wako jinsi ulivyo achika mpka ukakimbilia kwa Mjep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitolee nuksi nisije nikaachwa bure [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Ukirudi nyuma kidogo hapo unakutana na vijiji vya Bukima, Butata, Makojo

Enjoy ma samaki huko babu yake Antonnia
Upo sahihi Mkuu Mjep

Sasa hivi Vijiji vyote vya Bukima, Butata na Makojo vitapitiwa na Lami. Nimeona Kuna Ujenzi wa Lami unaendelea kwenye Barabara hii ya Majita.

Samaki nimeinjoi na wachache nilibeba, unajua sisi Wazee tuna shauriwa kupata Supu ya Samaki walau kila siku 🤪
 
Niache kubebishwa na yolly yolly [emoji7][emoji7] wangu nisubir uzi wako jinsi ulivyo achika mpka ukakimbilia kwa Mjep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitolee nuksi nisije nikaachwa bure [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mr voucha ana wenyewe shika adabu yakooo ikushike na ushikamane wewe na adabu yakoo sheeeeendwaaaaaaahh!! 👈👈👈👈
 
Upo sahihi Mkuu Mjep

Sasa hivi Vijiji vyote vya Bukima, Butata na Makojo vitapitiwa na Lami. Nimeona Kuna Ujenzi wa Lami unaendelea kwenye Barabara hii ya Majita.

Samaki nimeinjoi na wachache nilibeba, unajua sisi Wazee tuna shauriwa kupata Supu ya Samaki walau kila siku [emoji2957]
Ww mzee Tajiri boss mwenye tabasamu la peponi nasubir vocha
 
Naerewaaa naerewaaaa mie teinnnaaaaaaa [emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!! Uzuri wajua kabisa Mchambwaji mmepataaa hahahaha!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Tukimaliza kukuchamba uzi ukifika comments 1k+ tunarudi selflika tunaendelea ku selfika zetu. Hamna kuzira.
 
Back
Top Bottom