Ooh Sasa nimekuelewa baada ya kuniambia🤫🤫🤫 Yani nisiwasanue watu siyo kuhusu ile I'd?Kafute yale maelezo ya Antonnia banaa😛😛!
Mahondaw forever and always ✌️✌️✌️😁😁
Yes Dkt!Ooh Sasa nimekuelewa baada ya kuniambia🤫🤫🤫 Yani nisiwasanue watu siyo kuhusu ile I'd?
Inategemea na kuku,Nimeitwa na yolly yollyakaninyweshe supu ya kuku
Ukiwa single ukila kuku unaona kama kuku wanakuzomea![]()
Miss you more mjombaaa✌️🙎🙎 Kweli isije ikawa ID mtu kaiba jina lako 😄😄😄.. Miss you shangazi
Atajua mwenyeweeee na Yolly wakee khakhakhaaaa!!usikute yolly yolly ni kiportable au mwembamba
Yolly analiwa huko na masela kitaaAtajua mwenyeweeee na Yolly wakee khakhakhaaaa!!
😂😂😂Atajua mwenyeweeee na Yolly wakee khakhakhaaaa!!
Aliwe tyu papa si lakee!! khakhaa!! Watajua wenyeweeeeYolly analiwa huko na masela kitaa
NimefutaYes Dkt!
Hahahahaha.........unaogopa wataku Ghecha 🤪🤪Hapana babuu huko napaogopaaa!! Bhoke Awamu hii akuje mjini nayeye!! Msalimie sana bibii jamanii
Ndio babuu naogopa kugechwaaaa!! Lol itabidi usafiri nae sasa unamuachaje bibi aende pekeake Lakini huko Mjini kumeharibika babu jipange muende wote Babu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Hahahahaha.........unaogopa wataku Ghecha 🤪🤪
Bibi yako nitamsalimia ingawa nayeye ana safari ya kwenda Mjini kusalimia Wajukuu zake, na ninavyo mjua atabaki kusalimia huko Mjini mpaka Mwakani 🙆
Upweke utaniua Babu yenu na hivi nimezoeshwa kuoga Maji ya Moto 🙆🤪🏃🏃🏃
Mashallah 🥰Kwa hisani ya,,,,,,,,,,.View attachment 2370515
Ewaaaaaa Mkemia wetuIiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃💃💃💃!! Ngoja nimalizie kusimamia pepa hapaa Natupia kama zoteeeee...
Tunasubiri hapaIiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃💃💃💃!! Ngoja nimalizie kusimamia pepa hapaa Natupia kama zoteeeee...
KhakhakhaaaaTunasubiri hapa