Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Me bomba jiraniSalama jirani, wewe unaendeleaje...
Karibu tunywe chai
Me bomba jiraniSalama jirani, wewe unaendeleaje...
Sawa jirani..iwe siku ya baraka kwako na jirani DepalMe bomba jirani
Karibu tunywe chai
Kuna kipindi, unaanza sikiliza ngoma zinaanza fatana ki matukio, unapata mzukaa 😄😄Dudeee, what got into you today....! 😂
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃Aaaah hivi kumbe shemeji anaesemwa hua ni ww🤨🤨🤨
Sawasawa...jirani anapotea sana siku hizi..Ame jirani, baraka ziwe juu yako pia.
Nitamfikisia salamu jirani yetu
Yuko busy saivi, anatafuta hela ya kikoba si unajua mwisho wa mwezi huuSawasawa...jirani anapotea sana siku hizi..
Oh...Kumbe!. angesema kabla sijamalizia msimu wa mavuno.Yuko busy saivi, anatafuta hela ya kikoba si unajua mwisho wa mwezi huu
Kama vimebaki hata viroba viwili mtumie jirani, vitamfaa sanaOh...Kumbe!. angesema kabla sijamalizia msimu wa mavuno.
Nimtumie viroba vya viazi auze apate hela ya vikoba..
Depal ....
Sawa jirani, kinakuja...Kama vimebaki hata viroba viwili mtumie jirani, vitamfaa sana
Af nimemiss chips jirani, nitumie kisado kimoja jioni nikaange chips nifurahishe nafsi
Unataka kuvunja udugu wetu🙄🙄🙄🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Asante jirani yanguSawa jirani, kinakuja...
Ni wige ndiye anataka kuvunja siyo mimiUnataka kuvunja udugu wetu🙄🙄🙄
Something to touch....kumbe kabinti kabichi hivi
Vijana wanafaidi hatari.
Kuna kajamaa huko kyela kanafaidi eeh![]()









