Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Wewe unaweza?Etii![]()
Wewe unaweza?Etii![]()
Ashrim ni mdudu Gani?Wewe huwezi
Kushikwa kiuno
Kupigwa denda
Kulishwa ashrim hadharani![]()
HahaaaAaaah hapanaaa kama hakielezeki sio raha og hiyo.. Kisicho elezeka hatari kwa afya
Wangapi wanatosha sasa jamani?Hahaha, ukweli mchungu huu. Mwanamke mmoja hatoshi ni basi tu wakoloni walituweza kwa hilo.
Unaniita geto nije kufanyaje kwa mfanoGheto unapajua
Wasi wasi wako nini
Uje uchukue

Kumekucha , Good morningAmkeni
Tuselfike
Wenzake wanasafishaga na petroli kabla yeye katanguliza hadi pua 😆 atakula na masikio sasa😱😱😱😱 Carrasco putin umeona mambo yenu hayooView attachment 2369685
Shemeji kwa Nani......em mtaje apite mbele........ habari za asubuiShemeji huyoo
Marahaba mremboShikamoo , habari ya leo ?
Kwema mtaalamu mambo vp?Salam za heri na baraka kwenu...
Kwangu mimiShemeji kwa Nani......em mtaje apite mbele........ habari za asubui
Aaaah hivi kumbe shemeji anaesemwa hua ni ww🤨🤨🤨Kwangu mimi
Nimejitaja na tayari niko mbele kama tai
🙊
Salama kabisa mkuu...Kwema mtaalamu mambo vp?
Njema jirani, za wewe hukoSalam za heri na baraka kwenu...
Salama jirani, wewe unaendeleaje...Njema jirani, za wewe huko