National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Supu ya samaki huwa na enjoy mwanza, napenda wanawake bamia na nynya chunguu mingii, na mboga mbogaa, msamaki huoo.. Nikikaa wiki mbili huwa natoka kitambi 😄😄Huyo ni wa kike![]()
Supu ya samaki huwa na enjoy mwanza, napenda wanawake bamia na nynya chunguu mingii, na mboga mbogaa, msamaki huoo.. Nikikaa wiki mbili huwa natoka kitambi 😄😄Huyo ni wa kike![]()
Hii comment nimescreenshot.. 🤣🤣Baadae jaman mliopo single
Endeleeni kuperuzi mitandaoni mm naenda kumperuzi yolly yolly wangu
Upo single afu una komwe una kitambi![]()
Basi acha ata Melo atupe kazi, maana kutwa tunashinda hapa kuliko ma mod wenyewe 😂😂Jaman me si jobless kama wew my wangu
😂 😂Unajua mdg angu........aaah unajua mdg angu......mim mama angu alivyougua tu nikakosa pesa ya kujiunga na chuo Kuna hao ma kaka upande wa baba nkawa nawaomba pesa niongezee nilipie ada na mambo madg madg kila siku ikawa unajua unajua.........Tokea siku hyo sijawai wapgia sim wakiniuliza hivi unaish wapi nije kukutembelea na mim hua ntawaambia unajua unajua unajua
Utaniacha na nani my empress 😔😔😔Aiseeeee ntaka niifute hii app na kuitoa kwnye website maana hali ni mbayaaa😒
Ntaamia kwa bimkubwa wako😆😆😆ngoja nipack nguo chache hapa nihamieUtaniacha na nani my empress 😔😔😔
🤭🤭🤗🤗🤗🤗 Waooo mambo niyapendayo hayo yanakujaNtaamia kwa bimkubwa wako😆😆😆ngoja nipack nguo chache hapa nihamie
Nipe location nitume vijiko na vibakuli chap chap🤭🤭🤭🤭🤗🤗🤗🤗 Waooo mambo niyapendayo hayo yanakuja
😄😄 Uwahi kwa haraka unanikuta nakusubiriaNipe location nitume vijiko na vibakuli chap chap🤭🤭
Chap chap niko hapo utaniona nimevaa gauni la njano😆😆😆na mfuko wangu wa shangazi kaja😄😄 Uwahi kwa haraka unanikuta nakusubiria View attachment 2369700
😄😄😄 Eeeh tumekubaliana kuanzia maisha hata chini, hadi tuwe na kijiji chetu na wewe uwe empress wangu na mie emperor wako 😊Chap chap niko hapo utaniona nimevaa gauni la njano😆😆😆na mfuko wangu wa shangazi kaja
Wamenituma nikwambie kwamba hawatishiki… Bj watapiga na uvinza wataenda 😛😱😱😱😱 Carrasco putin umeona mambo yenu hayooView attachment 2369685
😄😄😄 Watukutu hao, ebu nipe ka experience kako mala ya kwanza kufatwa uvinza ulijisikiajeWamenituma nikwambie kwamba hawatishiki… Bj watapiga na uvinza wataenda 😛
Ndio my wangu ngoja bas nimalize kupack hapa nije hapo chap nsichelewe😄😄😄 Eeeh tumekubaliana kuanzia maisha hata chini, hadi tuwe na kijiji chetu na wewe uwe empress wangu na mie emperor wako 😊