Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,864
Unaambiwa ni Hatarious tarehe kama hizi 😂😂Yuko busy saivi, anatafuta hela ya kikoba si unajua mwisho wa mwezi huu
Unaambiwa ni Hatarious tarehe kama hizi 😂😂Yuko busy saivi, anatafuta hela ya kikoba si unajua mwisho wa mwezi huu
Nipo hapaaa🙇🙇🙇!
Nakuona nakuona unavyohaha 🤣🤣Unaambiwa ni Hatarious tarehe kama hizi 😂😂
Na Utakufa na kijiba cha rohooo👌👌👌 Khakhakhaaaa!!!Natambua uwepo wa single forever Antonnia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sema nitakufa kwenye mapenzi maana ninavyopenda hata mwenyekiti wa mtaa anatuonea wivuNa Utakufa na kijiba cha rohooo[emoji108][emoji108][emoji108] Khakhakhaaaa!!!
Usitufokee[emoji57][emoji57]Nimeamshwa na good morning mon amour Carrasco [emoji7][emoji7]
Naenda kupigishwa mswaki [emoji23][emoji23]
Upo single afu unalala bila nguo ili iweje [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Tangu majuzi ampate Yolly Yolly hatupumuiii !!Usitufokee[emoji57][emoji57]
Na mtaachana tu.
Utajijuuuuu!!Yani mtu unabadili ID unabadili avatar kwenye mahusiano utatulia kweli ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yaani ukiwa single na mpweke huyo anaweza kukufanya utake kujiua yaani.Tangu majuzi ampate Yolly Yolly hatupumuiii !!
Amefufuka Mahondaw cc smartTangu majuzi ampate Yolly Yolly hatupumuiii !!
Weekend nzima kalitekwa huko basi tangu atoke ni Yolly Yolly nonstop!! Tunalooo mbona!Yaani ukiwa single na mpweke huyo anaweza kukufanya utake kujiua yaani.
[emoji1787]
Njoo kwenye uzi wa mahusiano kule Kuna ubuyu wa shosti ako wa moto moto kampe ushauri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo ulitaka niwe baba wa kamboUtajijuuuuu!!
Hebu nitag fastaaa nikuje!!Njoo kwenye uzi wa mahusiano kule Kuna ubuyu wa shosti ako wa moto moto kampe ushauri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyo ulitaka niwe baba wa kambo