Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lizzy kijiweni kwako 😎😎
IMG_20220927_121208.jpg
 
Baadae jaman mliopo single [emoji2089][emoji2089][emoji125]
Endeleeni kuperuzi mitandaoni mm naenda kumperuzi yolly yolly wangu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo single afu una komwe una kitambi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dogo unatukana dada zako humu
 
Unapika nini dear?
Leo nipo nyumbani, mdogo wangu kaenda kwao. Hapa hata chai sijachemsha maana sijui hata sukari ipo wapi[emoji1787][emoji1787].

Jana usiku nilipika, fikiria nampigia simu kumuuliza chumvi ipo wapi. Mara hivi humu ndani kuna beef masala? Akaishia kunicheka. Nimekuwa mgeni kwenye jiko langu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom