National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
😄😄😄 Hujapenda njoo unipige makonziKwanini unanitukana lakini? Sijapenda kwa kweli.
😄😄😄 Hujapenda njoo unipige makonziKwanini unanitukana lakini? Sijapenda kwa kweli.
Kinywaji changu kiko wapi???Lizzy kijiweni kwako 😎😎View attachment 2369535
AlooUnapika nini dear?
Leo nipo nyumbani, mdogo wangu kaenda kwao. Hapa hata chai sijachemsha maana sijui hata sukari ipo wapi.
Jana usiku nilipika, fikiria nampigia simu kumuuliza chumvi ipo wapi. Mara hivi humu ndani kuna beef masala? Akaishia kunicheka. Nimekuwa mgeni kwenye jiko langu mwenyewe.





Nipe location. Huwezi nitukana na serikali ipo kimya tu.Hujapenda njoo unipige makonzi
Kinavutia sana, napenda sana nyanya chungu bamia na biringanya.Aloo
Nyanyachungu nimepika.
Mimi huwa naona bora nipike mwenyewe maana huyu binti yetu anapika kama analoweka nguo,,chakula kinaungua na yupo hapohapo.View attachment 2369603
View attachment 2369610
Kaanga mmoja, mwingine kunywa supu😊.Kinavutia sana, napenda sana nyanya chungu bamia na biringanya.
Sasa mimi inabidi nianze hivi. Halafu utanishauri nipike style gani. Si ndiyo?
Acha niwakate kwanza.View attachment 2369614
Uhhu pole ndo ukubwa huo kaka angu sie wadogo zako Kazi yetu ni kuomba pesa hatujui zinatafutwa vpMarahabaaa dada yangu mzuri 😊😊 kaka yako nipo nasafisha mabanda ya kuku, hoi hapa
Nimekubebea 🙂🙂Kinywaji changu kiko wapi???
Njoo kituo cha polisi kati hapaNipe location. Huwezi nitukana na serikali ipo kimya tu.
Kaka mwenye jobless ukiomba hela anakupa maneno 😄😄Uhhu pole ndo ukubwa huo kaka angu sie wadogo zako Kazi yetu ni kuomba pesa hatujui zinatafutwa vp
Sawa mpenzi acha ninywe supu. Hao wa huyo wa kukaanga nitamkaanga usikuKaanga mmoja, mwingine kunywa supu.
Hata mimi huwa napenda nyanyachungu bamia na bilinganya,,naona dunia yote yangu.

Huyu samaki katoa macho kabenjua mdomo, itakuwa alikuwa muongeaji sana bado kafa ila yupo activeSawa mpenzi acha ninywe supu. Hao wa huyo wa kukaanga nitamkaanga usikuView attachment 2369656
Unajua mdg angu........aaah unajua mdg angu......mim mama angu alivyougua tu nikakosa pesa ya kujiunga na chuo Kuna hao ma kaka upande wa baba nkawa nawaomba pesa niongezee nilipie ada na mambo madg madg kila siku ikawa unajua unajua.........Tokea siku hyo sijawai wapgia sim wakiniuliza hivi unaish wapi nije kukutembelea na mim hua ntawaambia unajua unajua unajuaKaka mwenye jobless ukiomba hela anakupa maneno 😄😄
Upo wapi nije kulaAloo
Nyanyachungu nimepika.
Mimi huwa naona bora nipike mwenyewe maana huyu binti yetu anapika kama analoweka nguo,,chakula kinaungua na yupo hapohapo.View attachment 2369603
View attachment 2369610
Huyo ni wa kikeHuyu samaki katoa macho kabenjua mdomo, itakuwa alikuwa muongeaji sana bado kafa ila yupo active

Pole Lovelovie .. Kwenye maisha sio kila mtu yupo kutusaidia, anaweza akawa ndugu wa toka nitoke, ila moyo ukawa mzito kabisa. Ila unaweza kutana na walio kusudiwa na Mungu kukusaidia, mioyo yao ni myepesi kabisa kwako. Wasamehe wapende huwenda hawakuwa wamekusudia kuwa msaada kwako.Unajua mdg angu........aaah unajua mdg angu......mim mama angu alivyougua tu nikakosa pesa ya kujiunga na chuo Kuna hao ma kaka upande wa baba nkawa nawaomba pesa niongezee nilipie ada na mambo madg madg kila siku ikawa unajua unajua.........Tokea siku hyo sijawai wapgia sim wakiniuliza hivi unaish wapi nije kukutembelea na mim hua ntawaambia unajua unajua unajua
🙂🙂🙂 Nikajua uko ofisni my empressJaman ntamuachaje king wa kijiji aiseeee
Jaman me si jobless kama wew my wangu🙂🙂🙂 Nikajua uko ofisni my empress