Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plz naomba niwe MC, usiniache ktk jambo lako.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] omba kwanza iwe kweli....Mc usijali ikisha kuwa bila shaka Jf watafanya mpango wa hyo ndoa kuwa live

Mimi sijui watafanyaje but I wish [emoji2960][emoji2960]
 
Mimi nafanya kila kitu mkuu [emoji16][emoji16]...ila kufua lazima uumie maybe ufue nguo simple simple ila sio jeans [emoji158][emoji23][emoji23]

Sio kishua sema uwa napenda tu coz naona kama ni urembo hasa kwa mtu anaye penda urembo
Ma jeans ya mumeo nani atakuwa anamsaidia kufua? Ni kwa sababu ya kucha au kuna sababu zingine? 😳
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliza wenzio, walifanyiwa vitu had wakawa wanachachawaaaa, mambo yakufanyika ulayaa yalifanyika Bongo tena wazi wazi, na bado waliachanaaa,

Mapenzi ni nyokooooooooo, ila sikomiiiiiiiiiii.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji15][emoji15] sema kweli....kuachwa kunavo umiza ivo eeh mungu baba [emoji2969] usiruhusu ilo litokee Mimi Niko deep sana nisha tumbukiza miguu yote miwilii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
tabia mbaya hii ila lazima tuwaonyeshe watu kama wametukosea .
ndo maana nakaaga mbali na watu alooh .
ubaya zaidi i can't fake it , naonyesha kabisa .
Aseeeeh upo km miee, kitu siwezagi unafiki, ku fake, kuishi life la kuwaridhisha watu wa nje,

SIWEZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji15][emoji15] sema kweli....kuachwa kunavo umiza ivo eeh mungu baba [emoji2969] usiruhusu ilo litokee Mimi Niko deep sana nisha tumbukiza miguu yote miwilii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na isitokee, sikiliza kwa wengine tyuuh.

Nyie mapenzi yaache yaitwe mapenziii.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Lenie
Antonnia
Tinsley

Mnipe hints za kudate na kipanga wa class, huyu Engneer wa baadae naona anataka kuyakanyaga vibayaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na alivyo mpoleee, mtaratibu, mkimya, kuna vitu nawazaaa nabaki kuchekaaa,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
mpo stage gani ya mahusiano ,tuanzie hapo
 
Simu.
Screenshot_20220924-185137_1.jpg
 
Lenie
Antonnia
Tinsley

Mnipe hints za kudate na kipanga wa class, huyu Engneer wa baadae naona anataka kuyakanyaga vibayaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na alivyo mpoleee, mtaratibu, mkimya, kuna vitu nawazaaa nabaki kuchekaaa,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Aki nimechekaa
Unajua wewe sio mzima😂😂😂

Just be his peace, that's all
Watu wengi hawapendi makasiriko yasiyo na msingi, kuchoshana akili huo muda hamna

Mpe sababu akikufikiria ahisi amani na furaha moyoni, mengine utajiongeza
 
[emoji15][emoji15] sema kweli....kuachwa kunavo umiza ivo eeh mungu baba [emoji2969] usiruhusu ilo litokee Mimi Niko deep sana nisha tumbukiza miguu yote miwilii[emoji23][emoji23][emoji23]
kwanzia mwanzo wa Mahusiano , muombe Mungu for guidance .
usiogope just pray .
 
Aki nimechekaa
Unajua wewe sio mzima[emoji23][emoji23][emoji23]

Just be his peace, that's all
Watu wengi hawapendi makasiriko yasiyo na msingi, kuchoshana akili huo muda hamna

Mpe sababu akikufikiria ahisi amani na furaha moyoni, mengine utajiongeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mie eti ni yeye dear,

Eti "nimeanza kukufatilia tangu tuko 1St yr lakini nimeona leo nikuambie ukweli, niseme nachojisikia kuhusu wee"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijawahi date na classmate mie tangu nitotolewe na mams, huyu kipanga anataka kuyavagaa vibayaa.

Asije anza leta mambo yake ya u kipanga ktk mahusiano, uwiiiiiih

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtongozooo wa mwanzooo.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
hapo panakuwaga patamu aiseee , just chill and relax , ndo muda wa kufanya maamuzi .

be real ili muweze kufahamiana vizuri , take your time to know the guy . and let love flow itself .

kama imeandikwa muwe pamoja itakuw tu .
 
Back
Top Bottom