Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Endelea kuumiza mtima wanguWoi
Asante sana, Weekend yangu na baba Mtumishi itaenda vizuri kabisa.
Mtaachana tu
Endelea kuumiza mtima wanguWoi
Asante sana, Weekend yangu na baba Mtumishi itaenda vizuri kabisa.
UnanikeraWa kupiga kwenye harusi
Mnacheza taratibu na bebi wako
Umesahau kuniweka kwa list
Nabeba na tuje kula 😊Hotpot inakusubiria...
Lenie ongeza kwenye list yako huyu mwingineUmesahau kuniweka kwa list
Nipo single pia
HatojutiaLenie ongeza kwenye list yako huyu mwingine
Haya Lenie kazi kwako.. Ndio umeisha elewekaa hukuuHatojutia
Hata mimi nina limfuko lizima hapa napambana nalo. Mnakutanikia wapi Baba Mchungaji?Nabeba na tuje kulaView attachment 2366554

You know I don't like those 🥴🥴Nabeba na tuje kula 😊View attachment 2366554



😊😊 Hizi nimekuwa kama addicted.. Naweza nisile chakula ila hizi nisikose, tukimaliza kula Lizzy ndio tataona twende movie au beachHata mimi nina limfuko lizima hapa napambana nalo. Mnakutanikia wapi Baba Mchungaji?
View attachment 2366582
Unibakishie na hizo mie nakula zoote ☺️☺️You know I don't like those 🥴🥴
We utakula hizo mie ntabaki humu 🙂View attachment 2366583
Amen.
😁😁😁Unibakishie na hizo mie nakula zoote ☺️☺️
Cinema ni 🍿🍿🍿😁😁😁
Ila utaninunulia nyingine tukienda cinema 😊
Unaishi laifu moja poa sana aisee. No siteresi yaani. Uzidi kubarikiwa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Reading & snacking
View attachment 2366592
Mpwa. Huu hata kama nimetoka kula michembe sehemu sishibi huu 😁😁😁Kabla hamjaenda kufanya irrigation of heart 🍺mpitie hapa kwangu mle ugaliView attachment 2366594
Moyo mweupe kabisa huyu binti, hana mawaa wala mkuuUnaishi laifu moja poa sana aisee. No siteresi yaani. Uzidi kubarikiwa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
😂😂Mpwa nitapika mwingine najua hapa hautoboiMpwa. Huu hata kama nimetoka kula michembe sehemu sishibi huu 😁😁😁