National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Ebu nifanyie mjomba selfi moja matata 😟😟 nataka kulalaUmeanza wanga lini mr vocha lakini??🤔🤔 Namtafuta sis angu Lovelovie umemnionea huko ???
Ebu nifanyie mjomba selfi moja matata 😟😟 nataka kulalaUmeanza wanga lini mr vocha lakini??🤔🤔 Namtafuta sis angu Lovelovie umemnionea huko ???
Mimi huyo eeh😊Yeah...anazichukia Kila muda anazisema [emoji23][emoji23] nivile tu alikuta nanyoa...angekutana na misuko ningeambiwa nyoa[emoji16]
Ila nakuombea huyo uliyenaye mungu awafikishe kwenye safari yenu 🙏Ayaaaa!! oky let's go...muda utaongea
mambo hayo , Mungu akubarikiAkika ata Mimi hyo kaka enu atanibadilisha sana..
Na niko tyriii wallah[emoji1732][emoji1732]
Wala sio msabato maybe tu afagilii..pia sioni tabu coz nampenda nitamsikiliza [emoji85]au ni msabato huyo maaana haelewi haya mambo
[emoji23][emoji23][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji8]Mimi huyo eeh[emoji4]
Ameen.[emoji120]Ila nakuombea huyo uliyenaye mungu awafikishe kwenye safari yenu [emoji120]
Ameen Mamy[emoji120]mambo hayo , Mungu akubariki
ndoa itiki
oyo 💃Wala sio msabato maybe tu afagilii..pia sioni tabu coz nampenda nitamsikiliza [emoji85]
[emoji3059][emoji3059][emoji120][emoji120]oyo [emoji126]
im happy for you sis , ufanikiwe
tumeumbiwa kutii sie (2 Peter 3:1)
Nimecheka mbavu cna hapaaa, woiiiiihnakua mkavu kama dagaa
Ewaaaaaaaaaah!!!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Sawa, nitakuwekea
Hizo raba ni kaliiiii, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plz naomba niwe MC, usiniache ktk jambo lako.Nisha kata jmni ata sielewi nako pelekwaa[emoji23][emoji23] najikuta naiona ndoa ileee kumbe wengee[emoji1751][emoji1751]View attachment 2366758
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanatakiwa waseme na asili ya neno ni wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliza wenzio, walifanyiwa vitu had wakawa wanachachawaaaa, mambo yakufanyika ulayaa yalifanyika Bongo tena wazi wazi, na bado waliachanaaa,[emoji23][emoji23] Ndoa ya kuacha Kila kitu kbla ya kuolewa hii uwa azielewekii kbsaa mkuu...unaweza kuacha Kila kitu alafu ghafla ndoa ikakuponyoka ukabaki unalia tu...
Inshallah na iwe ivo [emoji2969]
tabia mbaya hii ila lazima tuwaonyeshe watu kama wametukosea .