Bado mkuuUsharudi?
Wamening'ang'ania huku Dom hawataki niondoke
Bado mkuuUsharudi?
Teeeiinnnnaaa👌👌 pepo trokaaaaaaa in Carrasco Putin s Name! Sheendwaaaaa 😉Nimekosa sana
Nimekosa mimi
Nisamehe mimi🙌🙌🙌
Alipost selfie yake moja kali sana alaf akaku cc yani ile selfie mnafanana balaaaaHyuuu mkuu alipost nini aki nimechelewa kuona🥲🥲
weka tu sema baby wako ndo hapendi .Basi sta weka Tena kucha kipenzi changu
Jamni [emoji7]Wasichana wa jf wazuri
Eti unaiona ndoa ilee kama inakuja halafu inapotea.....😁😁😁Nisha kata jmni ata sielewi nako pelekwaa[emoji23][emoji23] najikuta naiona ndoa ileee kumbe wengee[emoji1751][emoji1751]View attachment 2366758
Ukimwona popote mwambie namtafuta sana !!Alipost selfie yake moja kali sana alaf akaku cc yani ile selfie mnafanana balaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] eti tunafanana ...nimecheka akiAlipost selfie yake moja kali sana alaf akaku cc yani ile selfie mnafanana balaaaa
Kama ni maisha ya kishua sawa. Lakini maisha yetu ya kawaida haya sidhani. Kuna kuosha vyombo. Kuna kumega matonge ya ugali. Kuna kufua nguo. Kuna......Na makucha marefu hizi shughuli zitafanyika kweli?weka tu sema baby wako ndo hapendi .
kucha ndefu huwa ni turn off kwa wanaume wengi
Yeah...anazichukia Kila muda anazisema [emoji23][emoji23] nivile tu alikuta nanyoa...angekutana na misuko ningeambiwa nyoa[emoji16]weka tu sema baby wako ndo hapendi .
kucha ndefu huwa ni turn off kwa wanaume wengi
[emoji23][emoji23] Ndoa ya kuacha Kila kitu kbla ya kuolewa hii uwa azielewekii kbsaa mkuu...unaweza kuacha Kila kitu alafu ghafla ndoa ikakuponyoka ukabaki unalia tu...Eti unaiona ndoa ilee kama inakuja halafu inapotea.....[emoji16][emoji16][emoji16]
Mwaka huu na usipite bana.
Ng'wīnga o Ntuzu...
yani sijui wanawezaje maana kutwa shughuli .Kama ni maisha ya kishua sawa. Lakini maisha yetu ya kawaida haya sidhani. Kuna kuosha vyombo. Kuna kumega matonge ya ugali. Kuna kufua nguo. Kuna......Na makucha marefu hizi shughuli zitafanyika kweli?
Lovelovie kimbia hapa dada mkubwa anakuita utakosa zawadi shauri yakoUkimwona popote mwambie namtafuta sana !!
Weeee.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] eti tunafanana ...nimecheka aki
Nisindikize ka vocha hapa na wewe uni cc basi
Mimi nafanya kila kitu mkuu [emoji16][emoji16]...ila kufua lazima uumie maybe ufue nguo simple simple ila sio jeans [emoji158][emoji23][emoji23]Kama ni maisha ya kishua sawa. Lakini maisha yetu ya kawaida haya sidhani. Kuna kuosha vyombo. Kuna kumega matonge ya ugali. Kuna kufua nguo. Kuna......Na makucha marefu hizi shughuli zitafanyika kweli?
Mungu atakujalia tu ila ikitokea vinginevyo spare ya tyre nitakuwepo hapa if u dont mind 😃[emoji23][emoji23] Ndoa ya kuacha Kila kitu kbla ya kuolewa hii uwa azielewekii kbsaa mkuu...unaweza kuacha Kila kitu alafu ghafla ndoa ikakuponyoka ukabaki unalia tu...
Inshallah na iwe ivo [emoji2969]
Akika ata Mimi hyo kaka enu atanibadilisha sana..yani sijui wanawezaje maana kutwa shughuli .
hapo kufua wanaita mtu afue nguo , kupika tuseme yupo busy hadi ajisikie
binafsi nina vikucha vifupi hapo sihaingaiki navyo sana
au ni msabato huyo maaana haelewi haya mamboYeah...anazichukia Kila muda anazisema [emoji23][emoji23] nivile tu alikuta nanyoa...angekutana na misuko ningeambiwa nyoa[emoji16]
Ayaaaa!! oky let's go...muda utaongeaMungu atakujalia tu ila ikitokea vinginevyo spare ya tyre nitakuwepo hapa if u dont mind [emoji2]