Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Mziki wao wangeendeleza vilevile tu wangekuwa mbaliSaivi vijana wanaoimba gospel sijui ndio la kisasa wameteka soko
Wakongwe wamebaki wachache sana
Wale jamaa Wana nyimbo zote kali na hazichuji.