haha nimechekaSina mpango wa kuolewa na watumishi
Habari za kufunga wiki kavu halooo
Namshukuru tu Roho Mtakatifu hapa nilipo...Panatosha.
Hata j2 hii ya kesho naenda kula kekiNa wewe ukijaga DSM unatingaga Kwa mwamposile?
Oh vizuri MkuuNipo TAG EAGT naingia na mengineyo ilipo Imani ya kweri
AmenHata j2 hii ya kesho naenda kula keki
Ni siku ya kufunga ila alisema tutakula keki takatifu,zi can't wait aisee kuisosomola keki
Sasahivi natumia maji ya mafuta ..Naona changes hasa kwenye macho.
Nimeanza kwenda juzi kati hapa.
Kwanza lazima ujue kupika chai ile kisawasawa.haha nimecheka
sio mchezo kuwa mama mchungaji .. nilikuwa natamanigi zamani wakti nipo so innocent .
Kuna namna macho yaliharibika kiutani.Amen
Mungu ni mtenda miujiza
yahitaji moyo aisee , sio kazi rahisi . ule ni wito kweli kweliKwanza lazima ujue kupika chai ile kisawasawa.
Kuna Mtumishi akisema tuimbe aisee mnaweza kukesha hapo msilale..Na bado hajaachilia mafunuo mengine.
Cha kufia Nini?
Ninataka mwanaume niliyempita kiwango Cha ibada,au tuwe level .
Nitapiga goti muda wote,yeye atafute Hela.
Siyo wote tumekaa 24 hrs tunasali
Ndio maana sinenepiduh pole , must be frustating
Watumishi wakereketwa wengi ni wavivu.yahitaji moyo aisee , sio kazi rahisi . ule ni wito kweli kweli
haha uwe na moyo mkunjufu kupokea wageni daily.
AmenKuna namna macho yaliharibika kiutani.
Ila jinsi yule jamaa anavyogawa dose,,watu wanapona.
Naamini na mimi nitapona kabisa macho na aleji.
AmenAmen
just put your trust in Jesus
hapo kazi aiseeNdio maana sinenepi
Imagine unakaa muda wote pua zimeziba,hewa haipiti vizuri.
Usiku huu sasa ndio unaisikizia vizuri hii hali.
Acha tu.
yeah maisha yamebadilikaWatumishi wakereketwa wengi ni wavivu.
Mm sitaki kabisa
Hata sijuihapo kazi aisee
muda wote unahangaika , pole
huwa wanasema hii inasababishwa na mtoto kunywa maji wakti wa kuzaliwa sijui kwako ?
kuna mtu namfaham yeye kisa kilikuwa hicho .Hata sijui
Ilinianza kipindi nipo primary.
Mimi pua haiwashi ila zinaziba,hazipotishi hewa vizuri.kuna mtu namfaham yeye kisa kilikuwa hicho .
kila saa anakuna pua dah
Urudi kwenu Tukuyu huko,Ila pamoja na yote DSM sijawahi pazoea.
Ule mwezi wa 2 wa 3 nilikuwa nalala chini kwenye tiles..lile jotovoyoyozi havifui dafu.
Angalau sasa baridi haijaisha.
haha nimecheka
sio mchezo kuwa mama mchungaji .. nilikuwa natamanigi zamani wakti nipo so innocent .