Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
wewe bebika huko kwa raha zakoKaeni kwa kutulia haswa
wewe bebika huko kwa raha zakoKaeni kwa kutulia haswa
thank you 😊Soon as possible
Thank youSoon as ppossible
Worry out crush. I'm here for u ..I am scared to lose you![]()
Thank u Mamy nimenasa kama ulimboo..hongera , love is a beautiful thing , hebu mshikilie .

Wewe si ulichezea bahati mchumbaMpambe wewe🤣
Woiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nimtu ana masihara mengiiii sana...anaweza akawa anatania ukajua Yuko serious, jinsi alivo in social media sivyo alivo live ukikutana nae..ajabu nikwamba social media Yuko serious sana but ukimuona lazima uwe unatabasamu Kila muda kama sio kucheka....
Ni mkaka furani ivi mcheshi mnoo ukiwa nae uwezi borekaaa...basi hyo inanifanya niwe nae Kila anapo kua....
Nan anamjua?? Anaye mjua amtaje![]()
Ona sasa unaiwekea mtego niachwe 😅Wewe si ulichezea bahati mchumba
enjoy hapo hapoThank u Mamy nimenasa kama ulimboo..![]()
Kwendraaaa 😂Niko hapa nimetulia tuliii nakula karanga tuu nawacheck wala hawezi kunitaja baby wangu qeen jojo
Uachwe mara ngapi mchumbaOna sasa unaiwekea mtego niachwe 😅
Sasa hivi siachwi kizembe😅Uachwe mara ngapi mchumba
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣Kwendraaaa 😂
Utege wa mdogo wangu uleeeee
Basi nitakuja tenawee hukaribishwi waja tuu
Asante Coca.
Ka mguu unako