Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiwa kwenye mahusiano hata njaa husikii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuaje single aisee yani shetani awe single na ww uwe single kweli hapana single wote muuliwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Penzi likiwa jipya hata km nyumba inaungua utasikia bby nasikia kaharufu ka moshi huko nje 😂😂😂
 
Nashangaa ni nani anasema wale wazuri bado hawajaletwa ulimwenguni wakati nina bahati ya kuwa na mwanamke mzuri zaidi kama wangu na mtu wa kuabudu hadi mwisho wa wakati. Ubarikiwe mwanamke wangu mzuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Single muuliwe tu [emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2365798
😂😂😂Huu mwaka Hadi uishe tutachambwa Hadi tuone kizunguzungu
 
😊
 
Attachments

  • 20220923_221436.jpg
    20220923_221436.jpg
    999.9 KB · Views: 8
Hee
Mtaje mtajeeeeee shemegi[emoji7][emoji7]
Nimtu ana masihara mengiiii sana...anaweza akawa anatania ukajua Yuko serious, jinsi alivo in social media sivyo alivo live ukikutana nae..ajabu nikwamba social media Yuko serious sana but ukimuona lazima uwe unatabasamu Kila muda kama sio kucheka[emoji3059][emoji3059]....

Ni mkaka furani ivi mcheshi mnoo ukiwa nae uwezi borekaaa...basi hyo inanifanya niwe nae Kila anapo kua....

Nan anamjua?? Anaye mjua amtaje [emoji7][emoji8]
 
Ukiwa kwenye mahusiano hata njaa husikii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuaje single aisee yani shetani awe single na ww uwe single kweli hapana single wote muuliwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
tutachambwa jamni humu .
mshikilie baby girl wako
 
Nimtu ana masihara mengiiii sana...anaweza akawa anatania ukajua Yuko serious, jinsi alivo in social media sivyo alivo live ukikutana nae..ajabu nikwamba social media Yuko serious sana but ukimuona lazima uwe unatabasamu Kila muda kama sio kucheka[emoji3059][emoji3059]....

Ni mkaka furani ivi mcheshi mnoo ukiwa nae uwezi borekaaa...basi hyo inanifanya niwe nae Kila anapo kua....

Nan anamjua?? Anaye mjua amtaje [emoji7][emoji8]
Nimtu ana masihara mengiiii sana...anaweza akawa anatania ukajua Yuko serious, jinsi alivo in social media sivyo alivo live ukikutana nae..ajabu nikwamba social media Yuko serious sana but ukimuona lazima uwe unatabasamu Kila muda kama sio kucheka[emoji3059][emoji3059]....

Ni mkaka furani ivi mcheshi mnoo ukiwa nae uwezi borekaaa...basi hyo inanifanya niwe nae Kila anapo kua....

Nan anamjua?? Anaye mjua amtaje [emoji7][emoji8]
hongera , love is a beautiful thing , hebu mshikilie .
 
Back
Top Bottom