Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Mr Shimba ya Buyenze hii dislike ya Nini?? [emoji28][emoji28] Hutaki sophy27 awe wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Mr Shimba ya Buyenze hii dislike ya Nini?? [emoji28][emoji28] Hutaki sophy27 awe wangu?
Love is a beautiful thing created by GODhongera , love is a beautiful thing , hebu mshikilie .
Nacheka huku jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]tutachambwa jamni humu .
mshikilie baby girl wako
Disilaiki nimeitoa ila Sophia muache! Madokta mna soko sana sasa umekosa wooote huko hata wagonjwa wako huko umekuja kumdandia mpwa wangu? Tangu uandikiwe ile barua nakumaindi sana basi tu 😁😬Sasa Mr Shimba ya Buyenze hii dislike ya Nini?? 😅😅 Hutaki sophy27 awe wangu?
Sikiliza wimbo wa single forever utakusaidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Aagh tatzo wewe na mjukuu wako mnambwela SanaAtakuwaje singo na wewe dokta wakati unajua kuwa Wasukuma tunambeba hivi karibuni? Hebu mwache mpwa wangu pulizi 😬😬😬
Inabidi kuwa na chama cha ma single twaweza saidiana
Mniache kbsa niinjoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mwaka Hadi uishe tutachambwa Hadi tuone kizunguzungu
poa , vipi mzima wewe ?
Alafu leo kaniambia nimuandikie barua nyingine, anasema amemisi sn barua😅Disilaiki nimeitoa ila Sophia muache! Madokta mna soko sana sasa umekosa wooote huko hata wagonjwa wako huko umekuja kumdandia mpwa wangu? Tangu uandikiwe ile barua nakumaindi sana basi tu 😁😬
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Natamani hata Xmas iwe kesho jaman hili penzi niacheni tu embu mjifunze kwetu tunavyopendanaPenzi likiwa jipya hata km nyumba inaungua utasikia bby nasikia kaharufu ka moshi huko nje [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa aseeInabidi kuwa na chama cha ma single twaweza saidiana
enjoy ndugu , sie tupo hapaNacheka huku jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sikiliza wimbo wa single forever utakusaidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
kweli umependa leo hujanipa dislike 😂😂Nacheka huku jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Unatumia vocha gani 😂😂😂kweli umependa leo hujanipa dislike 😂😂
Kaeni kwa kutulia haswaenjoy ndugu , sie tupo hapa
VodacomUnatumia vocha gani 😂😂😂
Soon as possibleVodacom