Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii[emoji23]
Sasa wewe ukikonda unajuaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa waziri mkuu wako siku hizi kunaingilika? Kuna siku nilikuwa na shida na wewe nikajaribu ikakataa. Nikaghairi.acha maneno mengi hebu du ze nidful
Dear hata usitamani kunenepa.
Mie mwili wangu unasonganga mbele tu kama injili, yaani unanikeraaaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]injili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
We nichekee tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo jumuiya yenu imejaa vibopa tu
Kwa waziri mkuu wako siku hizi kunaingilika? Kuna siku nilikuwa na shida na wewe nikajaribu ikakataa. Nikaghairi.
Okey.Sina uhakika, jaribu uniambie
Naweza kukucheka kweeliWe nichekee tu.
Kunichekea sio kunicheka.Naweza kukucheka kweeli
Hakuingiliki.Sina uhakika, jaribu uniambie
Hakuingiliki.
Shikamoo nshomile pasua kichwa. Naomba wekundu mmojaTGIF...let the weekend begin
View attachment 1257822
Mrembo wangu huyooo[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndio hivyo mkwe.Eeeishhh!!!