AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,273
Hatari sana. Hata hapa kama naona majamaa akina Putin yanahangaika hangaika. Akijichelewesha akakukosa mi nam-disown kabisa!😂😂😂Muache ashangae akute watu washanibeba
Yan michembe ni noma ukila unashau Kwa muda kma utakula tena sema mm napenda na maziwa fresh hapo kwenye tako ndo penyew mpwa ngoja nikazane kula 😂😂😂hali sio nzuri
Yani sijui tuseme nini aiseeNa pia kuna wanaume tu wenye roho mbaya wanaweza kum-target mtu na date rape drug ili kumwaibisha au kulipiza kisasi. Ndo maana kama kinga huwa haishauriwi kuacha kinywaji chako hovyo hovyo bila uangalizi wako. Maliza chote ndo uende chooni au ukikiacha ukirudi basi agiza kingine ulichokiacha achana nacho.
Kwa walioona hiyo connection binti yuko macho anatoa ushirikiano au ni yale yale ya Uwoya mtu kazima?
Inasikitisha!
Wewe tulia apoapo nimesharisishwa tayariHatari sana. Hata hapa kama naona majamaa akina Putin yanahangaika hangaika. Akijichelewesha akakukosa mi nam-disown kabisa!
Kuhusu hiyo ishu nyingine wala sina wasiwasi na wewe. Lazima tu unalo. Hili nina uhakika nalo!![]()
Umerithishwa na nani? Lini? Wapi? Kwa nini? Ilikuwaje? Nani alikuwa shahidi? 😳😳😳
Hamna kitu mpwa mpwa wako anivumilie tu carrasco Hana mpya yule mpwa 😂Hatari sana. Hata hapa kama naona majamaa akina Putin yanahangaika hangaika. Akijichelewesha akakukosa mi nam-disown kabisa!
Kuhusu hiyo ishu nyingine wala sina wasiwasi na wewe. Lazima tu unalo. Hili nina uhakika nalo! 😁😁
This world is not my home
Kunenepa hapana nakuwa na mashavu kama napuliza moto natak tu takyo 😭
Mbona maswali mengiUmerithishwa na nani? Lini? Wapi? Kwa nini? Ilikuwaje? Nani alikuwa shahidi?![]()







Hahaha..babe girl



😂😂😂
Mchumba mwenyew hata vitu vya kuongeza nguvu havijui nishaghairi 😂😂😂
Kalangiza uinjoy dear!! Napenda sana dengu!!
Hongera sana shemeji. Hatimaye Mulangira naye kajitutumua dah! Ila sijui tukape na jina la Kisukuma ili kifanane na nduguze? Sasa Kokushubirwa mh!Hahaha..babe girl![]()
Viazi vitamu vinanenepesha sana uwe unapiga na mazoeziKunenepa hapana nakuwa na mashavu kama napuliza moto natak tu takyo![]()
Shoga ako nani 😂😂Amen jirani yangu, ubarikiwe nawe.
Ukimuona shoga angu popote msalimie, amekua adimu
Taqo la kufanyia nn 🤣🤣Kunenepa hapana nakuwa na mashavu kama napuliza moto natak tu takyo 😭