Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,225
🤗Shikamoo Granpa!Hahahahaha..................🙊🏃🏃🏃🏃
Habare ya saii✋
🤗Shikamoo Granpa!Hahahahaha..................🙊🏃🏃🏃🏃
Oh Lord, you knowMtoto mdogo ww unakuja mpka hzo songs
Marahaba Mjukuu, habari za Mjini?🤗Shikamoo Granny!
Habare ya saii✋
Huku kwema sana babuu mvuamvua ndio zimeanza !!Marahaba Mjukuu, habari za Mjini?
Awapiii nina kitambi kwa sasa😬😬Nionepo uvopendeza jamaneee!! Yeah ukizaa mwili unatanukaa sema mie huwa napunguaaa!!
Kwa jinsi navyopenda kulima ningekuwa huko saivi mngenikuta shambani 🤪Huku kwema sana babuu mvuamvua ndio zimeanza !!
Weeee kitambi wapiiiii mama katotoo ! Huna kitambiiiiiiiii bana hebu nithibitishie kama kipo 😁!Awapiii nina kitambi kwa sasa😬😬
Fundi mchundo senior 😎😎😎
Hahahah!! Likizo nakuja kulima babuuu like granny like grandouta!!Kwa jinsi navyopenda kulima ningekuwa huko saivi mngenikuta shambani 🤪
Grandpa!🤗Shikamoo Granny!
Habare ya saii✋
Weeee kitambi wapiiiii mama katotoo ! Huna kitambiiiiiiiii bana hebu nithibitishw kama kipo 😁!
Wabheja sana msukuma mwenzio language nilifeliiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣!!Grandpa!
Toa emoji hio mjombaa unanitishaaa😉😉!
Uje na soda tam balaaMie pia nazipenda sana 😋😋😋😋
Awwwww😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋!!! Zinaonekana tu Tamuu kama mpishi mwenyewe!!!Uje na soda tam balaaView attachment 2364890
Dadekiii hapo na Mirinda ya baridiiiii😋Uje na soda tam balaaView attachment 2364890
Yaniiiiii acha kabisa!!Dadekiii hapo na Mirinda ya baridiiiii😋