Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220922_132443.jpg
 
Dengu eeeh! Nazilima sana huko Misungwi mpwa. Upikaji wake ni sawa tu na kunde mbona? Mojawapo ya vyakula bora kabisa kiafya.

Kweli Wasukuma tunakutunza mpwa. Ndo maana tunataka ubakie huko huko kimoja. We love you!
View attachment 2364577
Mimi nilikuwa sijui kama dengu ni mboga najua ni za kupika bagia tu naonaga unga wake mkovizuri
Kunasiku nilikula michembe nilishiba kutwa nzima nakunywa maji tu😂😂😂
Kuhusu kubaki huku Hilo limepita mpwawako anasemaje🤣🤣
 
Likely we Mnyaki wa kishua. Haya mbona ndo maisha halisi ya watu wengi huko vijijini? Na wengi tuliokulia vijijini hii (ilikuwa) ndiyo hali halisi.

Naam! Kula kwa jasho!
Ndiyo maisha ya vijijini. Hata kijijini kwetu ndiyo maisha hayo ila huwa naona huruma sana.

Kuna siku nilienda kwa bibi nikaenda naye shamba daah nimelima kidogo mikono ikapata madonda.
 
Ndiyo maisha ya vijijini. Hata kijijini kwetu ndiyo maisha hayo ila huwa naona huruma sana.

Kuna siku nilienda kwa bibi nikaenda naye shamba daah nimelima kidogo mikono ikapata madonda.
Kama nakuona ukilia mikono myekunduu imepata malengelenge. Zamani niliweza kulima hata masaa manane mfululizo. Nilijaribu mwaka jana hata masaa manne kwenye palizi sikutoboa hoi balaa lakini wenyewe waliozoea ndo kwanza wanajifunga vibwebwe na kuanza kuimba. Bagosha!

Ndiyo. Mkulima wa Tanzania huyo. Anatumia jembe la mkono. Na wakati wa kuuza mazao yake ni shida tupu. Kuna kudhulumiwa au kulipwa kidogo sana na madalali wajanja. Shida tupu yaani.
 
Back
Top Bottom