Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Haya nasubirhaya napokea
ngoja niwahi kuwekea
Haya nasubirhaya napokea
ngoja niwahi kuwekea
Kwa likes unazopewa nadiriki kusema unapendwa Funguka tuIFIKE ATUA SISI SINGLE BOY TUHESHIMIWE TUNAPITIA WAKATI MGUMU SANAtuna moyo na sisi
![]()

🙂🙂🙂 Nimewaacha nyumbani hata sijui wanaendeleaje dah! nimehamia mkoa mwinginendege hawajambo Uncle
Ww ndyo shemeji wa ukweli sasa una roho ya kizungu nenda Kwanza marekani ukirud jioni boss utatuma vocha tajir mwenye hisa NBCHii mbinu ya Mjep kumbe bado ipo!
Vizuri mazingira hayaruhusu kaa chonjo jioni nitaweka ..
Me sipo nimepotea 😅Jukwaa limechangamka yaani mekuwa mgeni sijui wale wakongwe kina Antonnia Mjep Mshana Jr cocastic Depal mawardat Saint Anne Shimba ya Buyenze na wakongwe wote bado mpo.
Viroja don’t quitCha kuchekesha
Shemeji hao hata nikiachwa wana like achana naoKwa likes unazopewa nadiriki kusema unapendwa Funguka tu![]()


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 weee jirani ndio una maneno hivo
Mimi sina mbinu yoyote mkuuHii mbinu ya Mjep kumbe bado ipo!
Vizuri mazingira hayaruhusu kaa chonjo jioni nitaweka ..
Njoo tule utakua na njaa weweViroja don’t quit
Nataka kujifunza kuwa mnafki 😂Njoo tule utakua na njaa wewe
Baadae madam nitakuitaMr voucha nina kipindi jamane ulisema nisitoke nikakuthubiriaaa weeeee🤔! naona kipindi kishafikaaa!!
See you later wapendwaa enjoy your chating!
Much love and respect ✌️😘
Antonnia