Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
nipendwe na nani lol 😂Waooo ubarikiwe sana mwaka huu utapendwa mpka ujihisi dunian mpo wawili tu
nipendwe na nani lol 😂Waooo ubarikiwe sana mwaka huu utapendwa mpka ujihisi dunian mpo wawili tu
Achana nae huyo 😎😎Shemeji Antonnia anakuita [emoji41][emoji41][emoji41]
Umempata huyo ni mrembo haswa katulia mpole tabasamu kwake kama maji kununa hajui tuma vocha sasa mkuu tuweke mambo Sawa shemeji yangu mtarajiwa wa pekee shemeji wa airport [emoji1021][emoji1021][emoji1021]Bint mzuri namna hii ukisafiri si unajikuta kila saa unapiga simu na akiwa offline waweza lia..
Mimi mdhaifu huyu sitoweza gharama za ulinzi zitakula akiba yangu..huyu anakufaa wewe mnyamwezi
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Au unataka naked Rumaiya [emoji7]??
Ww subiri uone miujiza utapendwa mpka utashangaanipendwe na nani lol [emoji23]
ndege hawajambo Uncle
Kamera tu mkuu sina maajabu yoyote hata!! Hii kamera sijui ikoje hata!🤔Duuuh! yaani wezere limekufanya uwe juujuu.
Kumbe na maombi yamo humuWw subiri uone miujiza utapendwa mpka utashangaa
Asante sana mrembo madam boss lady katika ubora wako😍😍Au unataka naked Rumaiya 😍??
IFIKE ATUA SISI SINGLE BOY TUHESHIMIWE TUNAPITIA WAKATI MGUMU SANA[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]tuna moyo na sisi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Au unataka naked Rumaiya [emoji7]??
haya napokeaWw subiri uone miujiza utapendwa mpka utashangaa
Wabheja sana mr vouuchaaaa ✌️✌️✌️✌️!!Asante sana mrembo madam boss lady katika ubora wako😍😍
Hii mbinu ya Mjep kumbe bado ipo!Umempata huyo ni mrembo haswa katulia mpole tabasamu kwake kama maji kununa hajui tuma vocha sasa mkuu tuweke mambo Sawa shemeji yangu mtarajiwa wa pekee shemeji wa airport [emoji1021][emoji1021][emoji1021]
Nijazeee nijazeee mamdoo badoo kukolezea wee nijazeee!!IFIKE ATUA SISI SINGLE BOY TUHESHIMIWE TUNAPITIA WAKATI MGUMU SANA[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]tuna moyo na sisi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]