Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Amen jirani yangu wa ukweliUwe na baraka tele jirani..
Baraka na neema ziwe juu yako pia siku hii ya leo
Amen jirani yangu wa ukweliUwe na baraka tele jirani..
Asante jirani...Amen jirani yangu wa ukweli
Baraka na neema ziwe juu yako pia siku hii ya leo
Na tunapendana na kujaliana kama majirani wema
Sawasawa....Na tunapendana na kujaliana kama majirani wema
Nikifahamu mnapoishi lazima nije niwachungulie
Mtaachana tuuu......🏃🏃🏃🏃Na tunapendana na kujaliana kama majirani wema
Hebu jaribu kunifanyia muamala, nihakiki tozo hakuna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuna raha ya kufutwa tozo acha tulalee
WivuuuuuuuuuuuuuuuuMtaachana tuuu......🏃🏃🏃🏃
Sana yaani
🤣🤣🤣
Wapi hapo mkuuGood morning wanaselfika wote hope mmeamka vyedi kabisaaa.View attachment 2363309
Nimekuona tena mamie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mrs_____Hebu jaribu kunifanyia muamala, nihakiki tozo hakuna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unaelekea wapi weweGood morning wanaselfika wote hope mmeamka vyedi kabisaaa.View attachment 2363309