Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thauuwaaathauwaaaaa mjomba Asavali umefurahi mjomba wangu nimekua na amanii!! Mungu athema tupendane si ndio mjomba?? Hebu nionepo uchebe unaotabasamu kwanza niamini kama kweli hujanuna mjomba wangu niwekee dakika sifuri huku namalizia pindi Jomba akee!!😍
🕺🕺🕺🙂🙂 Shangazi nikikununia si nakufa machana tuuu.. Subiri kidogo naweka uchebe hapa nipo kijiweni kwa watu
 
🕺🕺🕺🙂🙂 Shangazi nikikununia si nakufa machana tuuu.. Subiri kidogo naweka uchebe hapa nipo kijiweni kwa watu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭 nacheka kama Chizi class mjomba nimalizie kipindi kwanza!!🤭🤭🤣
Usiweke hadi nijeeee mjomba one time tu niwape highlights ya pepaaa vijana!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭 nacheka kama Chizi class mjomba nimalizie kipindi kwanza!!🤭🤭🤣
Usiweke hadi nijeeee mjomba one time tu niwape highlights ya pepaaa vijana!!
Uje kwanza ule shangazi.. Samaki wa kuoshewa maji ya mauti ni watamuuu haooo 🙂🙂🙂
IMG_20220921_143249.jpg
 
Nakuja mjomba usitoke hapo nikukute!!

Halafu sharubu zimekuaa fanya kushevu vizuri tena mjomba wangu!!😍
Kumbe mjomba una lipss matata sana mjomba
✌️✌️ nilikua sijazionaga vizure bana!!
🤗🤗🤗 Karibu shangazi, badae ukifika utashangaa, hutokuta mzuzu, ndio kinyozi anakuja hapa kuzifyekaa
 
Wee sema kweli mjomba??? 🤔🤔Au ziache nakuja kukushevu mwenyewe mjomba wangu huyo kinyozi Achana nae jiandae hadi za kusiniii napita nazoooo nikuache msafiii mjomba wangu
😜😜😜😜😜😜 Nakaa kwa kutulia hapa, siku za maisha lazima ziongezekee hapa.. Sio kwa kujaliwa huku na Shangazi yangu mpendwaa
 
😜😜😜😜😜😜 Nakaa kwa kutulia hapa, siku za maisha lazima ziongezekee hapa.. Sio kwa kujaliwa huku na Shangazi yangu mpendwaa
Turia ivoivooooo mjombaaa nakuja kukufanyia huduma moja ameiizzeeenngggg ✌️✌️!! Teeeeiiinnnnhhhh sema kingine mjomba wangu mjomba mwingine sinaaaa!!
 
Back
Top Bottom