Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,823
- 233,255
Na mimi nataka kujaribu Nkamu..
Nkamu baada ya kutokunywa muda mrefu jana nikaamua kunywa hiyo haina maajabu ipo kama maziwa mimi nimeipenda.
Ila wewe usinywe endelea kuwa mtoto mzuri
Sasa tufanyeje wakati ndio starehe yetu mkuu, haya maagano tutayavunja siku tukitubuπ¨π¨π¨πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Every sexual act is a covenant. A sexual covenant is much more powerful than many covenants. The only covenant that is as strong as a sexual covenant is the blood covenant.
Hallelujah πAmen , sifa na utukufu kwake aliyeziumba mbingu na nchi .
Yeye ni Mungu Mkuu , no weapon formed against you shall prosper
here is my favourite verse from thw book of Romans 8:31
if God is for us , who can be against us .
Mathew 19:26
hallelujah to the King , Jehovah jire , Elohim and so many more
π¨π¨π¨π¨π¨π¨π’π’π’π’π’Sasa tufanyeje wakati ndio starehe yetu mkuu, haya maagano tutayavunja siku tukitubu
sio kwa majibu hayo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
It is very easy to yield to the dictates of your carnal nature but it is very painful to pay the price. You can spend three minutes going into an illegal sexual act and spend 20 or 30 years paying the price. You can commit immorality secretly but you cannot conceal its consequences.
Mie nimeacha. Sijui wengineKwa hiyo tuache kungonoka? Tutafute starehe zingine manake mwanadamu anahitaji kitu cha kufanya ubongo uchangamke.
Sisi ndiyo Wazee washauri wa Nchi, tumebaki wachache mno kutokana na umri wetu π€ͺSawa, mzee wa mchongo,
Nasubiri
Habari zako mkuuSisi ndiyo Wazee washauri wa Nchi, tumebaki wachache mno kutokana na umri wetu
Vizuri kuona Wajukuu zangu mnaendelea vizuri.Hahaaa
Mi naendelea poa babu wa mchongo
Salama Mkuu, habari za hapo ulipo?
Umepumzika kidogo tu mkuu.Mie nimeacha. Sijui wengine
Sisi ndiyo Wazee washauri wa Nchi, tumebaki wachache mno kutokana na umri wetu