cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,478
- 188,331
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua nazamia chini, sasa nikaanza kunywa maji, si nianzeee kuhaha, ndo akaja kuniokoaaa, toka hapo naogopaaa, yaan nliona aibuuu, kusemwa na kufokewa uwiiiiiihUlifanyaje?[emoji28]
Me napenda
Au ukae uingize miguu kwenye maji uchezee tu naskia raha