Nimeshaanza kukipenda kitambi kiache.
Halafu shida sio kutoa kitambi shida ni pale uwanjani, wadada wana machuuuuuraaa makubwa, na wakija mazoezi wanakuwa wamevaa vi tight vimewachora sana wakati mimi huku hamna chura.
Sasa wewe kama unataka kitambi kiishe, nitakupa stress wiki tuu kitambi na hiyo miguu imeisha.