Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Nileteeni ice cream 🤕🤕😥😥Wacha tu tuenjoy hamna namna😅
Nileteeni ice cream 🤕🤕😥😥Wacha tu tuenjoy hamna namna😅
Siyo kwa uchawa huo mpka boss Mjep hana kitambi Ila kapata kitambi gafla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie mapacha kabisa aki tena[emoji23]
Embu niache huko sanamu lako tunajenga kinyerezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sijifyatui kama Putin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lako lipo Mkabala na la Posta paleEmbu niache huko sanamu lako tunajenga kinyerezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri wa Mjep siyo mlafi.Siyo kwa uchawa huo mpka boss Mjep hana kitambi Ila kapata kitambi gafla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushindwe sanamu gani jeusi vile [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Lako lipo Mkabala na la Posta pale
Nahisi inakuwaga ni network inachezaJana wamenitumia hiyo msg Yao imeandikwa namba namba
Nikasema Hawa sijui wanataka tuchat😁
Kitambi ni urembo tokea lini? Emu tuliza komwe 😂Yaani hiyo sticker ni hua inanichekeshaa
Anyway kitambi ni aina mpya ya urembo😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tupige domo vocha zikija hatupat hata moja wajanja wenye speed ya kufumaniwa wanaziwahiUzuri wa Mjep siyo mlafi.
Hataki kula pesa zote pekeyake.. Vitambi na yeye ni Mbingu na ardhi.
Nilimuotea akiwa anafikicha macho 🙂Dogo janja anaona aibu [emoji23][emoji23] mmemfanya nn jaman au anataka ice cream
Komwe which where when how??Kitambi ni urembo tokea lini? Emu tuliza komwe 😂
Afadhali hujaandika
Nipo kimboka, nimepata kisu
Boss tajir yupo kwenye BMW X7 BRAND NEW Gari lenye matair ya dhahabuAliye sema sina kitambi ni nani?
Na hiki ni nini??
Engineers wa mchongo 😊😊😊 Mie ni Msusi tuNawatag
Mkinuna poleni
M
N
G
Hahaaaaaaa
Hyo shati ni dollars 5000 pekee ipo USA tuAliye sema sina kitambi ni nani?
Na hiki ni nini??
Umeona ukininyima utafaidi 😒