Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Sema unaogopa kupaukaGhaiiii me siwezi
Napenda hela sana.. nachukiaga kuishiwa sana 😭
Na pia sina mambo mengi
Kazi hazinichoshi sana
Sema unaogopa kupaukaGhaiiii me siwezi
Napenda hela sana.. nachukiaga kuishiwa sana 😭
Na pia sina mambo mengi
Kazi hazinichoshi sana
Weeee sema kweli? Mbona napitwaga naked zake kizembe humu jamaneeeee atupieeee nimuonepo msintaniee... Halafu nimemiss jicho lakoo tramuuu banaa fanya kunibles one time aseee!! mko vizureeeee✌️✌️✌️✌️✌️Halafu sijui kwanini watu wengi tunaovaa miwani tuna macho mazuri.
Mjep huyo..Jicho la kumtoa nyoka pangoni😂
Bado rangi,Mweupee peee kama Coca.
Mweupe kama roho Yake.
Hapo bado hawajakupelekesha🤣Jirani nitafutie na mimi shamba huko nije nilime
Asante
Anapitaga kama Upepo.Weeee sema kweli? Mbona napitwaga naked zake kizembe humu jamaneeeee Tatupieeee nimuonepo msintaniee... Halafu nimemiss jicho lakoo tramuuu banaa fanya kunibles one time aseee!! mko vizureeeee✌️✌️✌️✌️✌️
Bado Saint Anne hajaanza kushusha verses walaii ... mahaba yamewakuta wenyeweeee weraaaaaaaaaahhhh
Nitakapokuja kumshushia verse Kamanda..Ntamwaga zooteBado Saint Anne hajaanza kushusha verses walaii ... mahaba yamewakuta wenyeweeee weraaaaaaaaaahhhh
Eeh hayo manyanyaso hee adi unasema kwani ni nini hiki?Hapo bado hawajakupelekesha🤣
Hiki ndicho kilichonichosha zaidi.
Hadi nawaza,hivi hawa wananichukuliaje?Eeh hayo manyanyaso hee adi unasema kwani ni nini hiki?
Jamaneeeeeeeeeee siipatiiiiiiii pechaaaa kabesaaaaaa!! ✌️✌️!! Aselfike banaaaAnapitaga kama Upepo.
Halafu sasa sijagusia sauti yake jamani😋basi tu ni kaka yangu.
Wacha wehNitakapokuja kumshushia verse Kamanda..Ntamwaga zoote
Naanzisha na Uzi kabisa,tuimbe tujimwayemwaye.



unitag kabisa I'm doneJamaneeeeeeeeeee siipatiiiiiiii pechaaaa kabisaaaaaa!! ✌️✌️!! Aselfike banaaa
The Most handsome Gentleman all over the world
Kwani sina kwetu kha? 😂Hadi nawaza,hivi hawa wananichukuliaje?
Mbona Nina maisha mazuri tu nje nanhapa😂
Ndiiiooooooooooooooooo!! Love is a beautiful thing meeeennn!✌️✌️😘😘Nitakapokuja kumshushia verse Kamanda..Ntamwaga zoote
Naanzisha na Uzi kabisa,tuimbe tujimwayemwaye.
Mwishowe nife kwenye mapambano ya mwendokasi pale kivukoni😂Kwani sina kwetu kha? 😂
Chakufia?
😂😂😂😂 utajua mwenyewe cha kujaziaSema unaogopa kupauka
Tatizo mnakaa mbali na kaziniMwishowe nife kwenye mapambano ya mwendokasi pale kivukoni😂
Acha tuNdiiiooooooooooooooooo!! Love is a beautiful thing meeeennn!✌️✌️😘😘