Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,683
- 208,885
Nimewaza sana ๐๐๐Ukweli mchungu ๐๐๐
Me leo niko hoves adi natamani kutoroka
Toroka ukatafute profoma
Nimewaza sana ๐๐๐Ukweli mchungu ๐๐๐
Me leo niko hoves adi natamani kutoroka
Lol nilipitwaaaa aseeehh!!! Ngoja nimvizie siku akitupia namie nionepo !!Anazificha six packs zake
Alishawahi itupia hapa
Adi kuna saa nawatamania waliojiajiriNimewaza sana ๐๐๐
Toroka ukatafute profoma
HongeraMweee kama anashinda jukwaa la Tech huyo atakua ni kipanga
Mtag hapa akujeeee
VERSE 1
Penzi langu walihudi halihudi lanukia
kumpenda sina budi,
Nitangaze hadharani ikibidi tufanye makusudi
Hatuogopi tantalila zao maneno nchajao
wanafanya maneno baby si tufanye matendo
BRIDGE
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
huko nyuma nilianguka ukaniokota ukanipangusa
upendo tulonao umetengenezwa na mimi na wewe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyanyuka
CHORUS
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu,
neno penzi kwangu tamu Jama mapenzi matamu
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu, neno penzi kwangu tamu
Jama mapenzi matamu
VERSE 2
Oooh papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata,
kukupenda wewe sina shaka aaah aaah mmmh
Kwenye akili yangu ni wewe peke yako umenikaa kwingine roho inakataa,
Moyo umekuamini maana huniishi akilini sijui umenipa nini
Au umentupia ka jini ndo maana umeniwin maana huniishi akilini
BRIDGE
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
huko nyuma nilianguka ukaniokota ukanipangusa,

Kuna kipindi niliomba kupumzikaKwahiyo ukaacha kazi ama ๐คฃ
Hongera ya nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]M muhaya au mpare
Mjep au Mshana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuomba kupumzika ndio kupoje? Likizo ya bila malipo?Kuna kipindi niliomba kupumzika
Siyo Kwa kuvuja jasho huku aisee..unaweza fia kwenye mapambano ya Hela za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]! Tutakoma tusiopendwaaa wala kubebishwaaa walaiiii hadi kasuku wataona wivu sio njiwa ty!!
Hatareee
Wacha weeeehTeeeeeenaaaaaaaaa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yametukuta wahusikaaaaaa!!! Hadi njiwa wanaona wivu.
NdiyoKuomba kupumzika ndio kupoje? Likizo ya bila malipo?
Naiwekea lamination hii song, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mweee kama anashinda jukwaa la Tech huyo atakua ni kipanga
Mtag hapa akujeeee
VERSE 1
Penzi langu walihudi halihudi lanukia
kumpenda sina budi,
Nitangaze hadharani ikibidi tufanye makusudi
Hatuogopi tantalila zao maneno nchajao
wanafanya maneno baby si tufanye matendo
BRIDGE
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
huko nyuma nilianguka ukaniokota ukanipangusa
upendo tulonao umetengenezwa na mimi na wewe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyanyuka
CHORUS
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu,
neno penzi kwangu tamu Jama mapenzi matamu
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu, neno penzi kwangu tamu
Jama mapenzi matamu
VERSE 2
Oooh papa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chata,
kukupenda wewe sina shaka aaah aaah mmmh
Kwenye akili yangu ni wewe peke yako umenikaa kwingine roho inakataa,
Moyo umekuamini maana huniishi akilini sijui umenipa nini
Au umentupia ka jini ndo maana umeniwin maana huniishi akilini
BRIDGE
Imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
huko nyuma nilianguka ukaniokota ukanipangusa,
upendo tulonao umetengenezwa na mimi na wewe
Hapo nyuma walituangusha tukanyanyanyuka
CHORUS
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu,
neno penzi kwangu tamu Jama mapenzi matamu
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu, neno penzi kwangu tamu
Jama mapenzi matamu
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu,
neno penzi kwangu tamu Jama mapenzi matamu
Penzi tamu, neno penzi kwangu tamu, neno penzi kwangu tamu
Jama mapenzi matamu
NdyoooooohWacha weeeeh
Coca huyoooh[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91]
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMjep handsome
Halafu six pack yaani..ndio raha ya wazungu wa roho akina Mjep.
Vitambi vimepita mbali nao.
Nitakuja nayo baadae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kastory ka mapenzi yenu ili kawe inspirational kwetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Weeeh๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mdogo wangu kinywaji ulichokunywa leo ni hatarii
Mwambie mhudumu akuongeze nyingine ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kwa sifa hizo mdogo wangu hata Carrasco putin akae mbalii
Umetisha sanaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hii Inglishi Ras simba ameithibitisha kweli??To be honest we live at work and visit home ๐ญ and yet we donโt have sufficient money ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ญ
Lenie
Ghaiiii me siweziNdiyo
Mahaba yamewakuta wenyeweeee nyakanga kakolezwa kisawasawaaaa can you imagine?? NoumaaaaaaWacha weeeeh
Coca huyoooh๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ