Muda utatoka wapi kama wote ni ma breadwinner HS? Ili niweze kuwa na muda nae inabidi nikae nyumbani aniletee chakula, sasa saa 12 tunatoka nyumbani wote, nikitoka kazini hadi nifike nyumbani ni saa mbili kasoro. Tukifika yeye ananyooka kulala mimi naingia jikoni kupika.
Anakula, anarudi kulala.
Hapo naanza kuanza kumnyooshea nguo za kesho na za mtoto za shule ndio na mimi nikalale.
Naanza kushika namba saa ngapi
Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii
Wewe una mwili kama wangu. Ukigoma kunenepa umegoma; ukiamua kufutuka hata niwe nina mfungo wa months unafutuka tu. Siku hizi nimeuacha tu unifanye unavyojisikia